Mkuu miaka na miaka milongo na milongo ama milenia na milenia mbona binadamu aliishi nyumba ya udongo ,mapangoni,bila hata nguo ama wamefunga ngozi tu hapo kwenye pa kukojolea si waliishi ama unajiona saivi ndo unaishi na huku saivi hata haufurahii maisha Kama walivyoishi hapo zamani.
Nikuambie maisha ya zamani enzi hizo watu walienjoi kuliko saivi. Nowadays you've to work manya hours just paying for some non basic needs shit.
Mbona waeskimo wanaishi kwenye nyumba za barafu mkuu.
Nguo zimekuja tu miaka ya 1960s before that watu walikuwa wanatembea na ngozi tu mkuu na maisha yanaenda.
So impinge huyo jamaa hapo juu kila mtu katika maisha haya Ana matazamio yake kuwa afanikishe Nini.
Ukivaa nguo ya milioni what then?
Binafsi huwa na wish ningezaliwa zamani ni mwendo wa nyama choma matunda pori free from genetic modifications seed, asali, ndege wa porini mayai ya kanga mnatega sungura. Yaani kulikuwa hakuna complications Sana Kama Zama hizi