Kujenga na kumiliki nyumba ya kuishi ni muhimu kwa watu wa kipato cha chini?

Jaribu kuchukua mkopo mil 80 halafu nunua hiyo eicher nenda na hizo hesabu njoo baada ya miaka miwili uone kama uko realisric au ni zile hadithi za kilimo cha matikiti maji kwa eka na bei ya tikiti kuwa ni wastani wa elfu mbili.
mkuu acha nikwambie.

katika haya maisha kuna biashara za aina mbali mbali.
biashara ya eicher,au petrol station zina hela nzuri tu,ila ni wangapi wenye mtaji wa kuwekeza huko,hapo ndipo tunakutana na barrier inayoweka geti zito kutoboa.

unanambia nikakope 80mln,unajua ni watumishi/watanzania wangapi nchini wenyewe sifa ya kupewa pesa hiyo mkuu[emoji1].usichojua ambacho ndio uhalisia,wengi wana sifa ya kukopa 15mln kushuka chini,kitu ambacho kinawalazimisha kuamua kujenga tu kutokana na tabia mbali mbali walizo nazo.
 
Yupi huyo? Kujenga ni woga tu. Hata ukisoma humu sababu za watu utasikia mara unaweza kupoteza kazi ukakosa kodi,mara biashara itakufa utakosa kodi,ada. Ukiangalia deep unaona ni woga tu. Muhimu tafuta hela, jenga kwa starehe sio hadi unajibana hela ya kula kisa woga utalala nje!
Nyie watoto wa mama, aka mayai mayai mnaosubiri nyumba za urithti ndio mnaokuja na hoja ya kujenga ni kuogopa maisha, mwisho wenu mnaishia kupakuliwa amber rutty zenu,

Ingieni front kutafuta vyenu
 
Kiukweli ujenzi sasa iv ni gharama sanaaa vitu vya ujenzi vipo juu mnooo
Kama ujenzi wa sasa upo juu huo wa miaka ijayo utakuaje cuzzo,?

Miaka ya nyuma baba zetu walijejenga mfuko wa cement ukiwa elfu nne, 4000, sasa hivi supaset huku nilipo ni 16000/16500, hiyo miaka ijayo utanunuaje huo mfuko wa cement?

Kama umepata nafasi ya kujenga jenga sasa achana na story za watoto wanaotegemea nyumba za urithi watakupoteza
 
Nyie watoto wa mama, aka mayai mayai mnaosubiri nyumba za urithti ndio mnaokuja na hoja ya kujenga ni kuogopa maisha, mwisho wenu mnaishia kupakuliwa amber rutty zenu,

Ingieni front kutafuta vyenu
Ndio upeo na kina cha akili yako kufikiria.
 
Kama nilivyosema ni woga tu. Hapa wewe unaogopa maneno ya mama mwenye nyumba!
Hapana Mkuu RRONDO, Kuna starehe ya kuwa kwako na kwa mtu Mkuu.labda TU hujui lakini Kuna Mambo mengi mno yanaoendelea kwa manyumba hayoo unayo ng'ang'ania vinginevyo Jamaa utakuwa unaishi ya kurithi
 
Hamjang'amua point yangu. Hayo mengine ya kuishi ya urithi,sijui ya kupanga tuyaache kwasababu nikisema nitakuwa najimwambafai. Msimamo wangu ni huu acheni woga wa maisha. Kujenga miaka kumi hata kula huli vizuri kisa unaogopa utalala nje au kelele za mwenye nyumba. Tafuta hela,wekeza hata mwenye nyumba atakuogopa,halafu anza kujenga for fun.
 
Yupi huyo? Kujenga ni woga tu. Hata ukisoma humu sababu za watu utasikia mara unaweza kupoteza kazi ukakosa kodi,mara biashara itakufa utakosa kodi,ada. Ukiangalia deep unaona ni woga tu. Muhimu tafuta hela, jenga kwa starehe sio hadi unajibana hela ya kula kisa woga utalala nje!
Sasa kwani hizi sio sababu za msingi? Zinakuaje ni woga? Kwani ikitokea hivyo what next kwenye maisha yako?
 
Hamjang'amua point yangu. Hayo mengine ya kuishi ya urithi,sijui ya kupanga tuyaache kwasababu nikisema nitakuwa najimwambafai. Msimamo wangu ni huu acheni woga wa maisha. Kujenga miaka kumi hata kula huli vizuri kisa unaogopa utalala nje au kelele za mwenye nyumba. Tafuta hela,wekeza hata mwenye nyumba atakuogopa,halafu anza kujenga for fun.
Hahahaha hahahaaa. Mkuu Kuna Mambo mawili
1.Ama hupendi wengine wawe na kile ambacho wewe unacho?
Ama 2. Unaishi kwa ndugu,mama,n.k
Sasa kutokana na mazingira hayo utamshawishi Nani akuelewe?
Na je utawezaje kujimwambafai mkuu!!?????
 
Hamjang'amua point yangu. Hayo mengine ya kuishi ya urithi,sijui ya kupanga tuyaache kwasababu nikisema nitakuwa najimwambafai. Msimamo wangu ni huu acheni woga wa maisha. Kujenga miaka kumi hata kula huli vizuri kisa unaogopa utalala nje au kelele za mwenye nyumba. Tafuta hela,wekeza hata mwenye nyumba atakuogopa,halafu anza kujenga for fun.
Kula hakuishi,unavyotafuta maisha usisahau kula maisha.

Ila kwa kuwa maisha yako very uncertain na pesa haipatikani kirahisi mda wote mtu aki secure pesa anakimbila apate pa kiota kwanza afu hayo mengine yataendelea.
 
Back
Top Bottom