mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
mkuu acha nikwambie.Jaribu kuchukua mkopo mil 80 halafu nunua hiyo eicher nenda na hizo hesabu njoo baada ya miaka miwili uone kama uko realisric au ni zile hadithi za kilimo cha matikiti maji kwa eka na bei ya tikiti kuwa ni wastani wa elfu mbili.
katika haya maisha kuna biashara za aina mbali mbali.
biashara ya eicher,au petrol station zina hela nzuri tu,ila ni wangapi wenye mtaji wa kuwekeza huko,hapo ndipo tunakutana na barrier inayoweka geti zito kutoboa.
unanambia nikakope 80mln,unajua ni watumishi/watanzania wangapi nchini wenyewe sifa ya kupewa pesa hiyo mkuu[emoji1].usichojua ambacho ndio uhalisia,wengi wana sifa ya kukopa 15mln kushuka chini,kitu ambacho kinawalazimisha kuamua kujenga tu kutokana na tabia mbali mbali walizo nazo.