Hovyoo ..sasa haujiulizi kwann na complain vifaa vipo bei juu kama nisingejenga ningewezaje kufahamu bei za vifaa vya ujenzi ...rubbishVilipokuwa chee mbona hukujenga?
Tunazungumzia mafanikio kwa watu wenye utimamu wa akili na bongo zinazofikiri na kuchakata mambo vizuri.Mafanikio ni vile mtu mwenyewe unayatafsiri. Wao kujenga ni mafanikio. Wengine kushika amri za Mungu ndiyo mafanikio, wengine watoto wengi nk. Kila mtu anatafsiri yake ya mafanikio.
Laiti serikali iki ingilia kati vinaweza kupunguavipo juu na vinazid kupanda
Watu wengi wanajenga na maisha yao yanaisha hapo, hawafanyi jambo lingine lolote la maendeleo hadi wanaenda kaburuni. Wanabaki maskini tegemezi hoehae kwa watoto, ndugu na marafiki wakiwa katika nyumba zao!Mi naona bora mtu aanze na ujenzi kama ana uhakika wa kuuanza na kukamilika
Maana nyumba anaweza kuombea mkopo na akainuka tena pindi mambo yamekwama
Sasa kiongozi kwenye nchi ambayo sera hazieleweki kama mtu kaotea pesa inatosha kujenga ni bora afanye hivyo tuWatu wengi wanajenga na maisha yao yanaisha hapo, hawafanyi jambo lingine lolote la maendeleo hadi wanaenda kaburuni. Wanabaki maskini tegemezi hoehae kwa watoto, ndugu na marafiki wakiwa katika nyumba zao!
Mkuu kuna watu hayo ni mafanikio. Na wanajisikia fahari sana. Na yanampa furaha mno. Ukipima kwa akili utaona kama ni shida tupu lakini kwake ni mafanikio.Tunazungumzia mafanikio kwa watu wenye utimamu wa akili na bongo zinazofikiri na kuchakata mambo vizuri.
Ni mpumbavu tu atakayesema kuzaa watoto ishirini ambao wanatembea na kaptula za makalio wazi huku wakilala kwenye kijumba cha udongo nayo ni mafaniko.
Mkuu unaposema nyumba ukiishi mwenyewe inakua liability sidhani kama ni sawa. Kwa hiyo wewe utaishi wapi? Utaenda kupanga? Labda uniambie una nyumba nyingine ya kuishi, hivyo moja upangishe.Huingizi chochote zaidi ya kutoa kwa vile hujapangisha. Umeme, maji, ukarabati nk pesa inatoka haiingiii
KabisaaaBiashara ni kipaji na ni hobby pia.
Mimi binafsi nikifanya biashara,siwezi pata kiu ya soda halafu mezani kuna buku naiangalia.
Unawezaona ni kwa namna gani biashara sio fani yangu.
Kingine inabidi tushukuru wafanyakazi wa aina hiyo,maana wanawapisha wasio wafanyakazi nao waishi kupitia biashara, vinginevyo itakuwa ni urafi na roho za ubinafsi.
Hovyoo ..sasa haujiulizi kwann na complain vifaa vipo bei juu kama nisingejenga ningewezaje kufahamu bei za vifaa vya ujenzi ...rubbish
hata kujenga nyumba ya kupangisha bado sio uchaguzi mzuri kibiashara.
mfano nyumba uliyojenga kwa 80mln tabata,unawezapangisha kwa 250-300 kwa mwezi.
300×12=3.6ml÷ 80mln=biashara kichaa.
wakati eicher la 80ml linaingiza 4.5ml kwa mwezi.
4.5mln×12=54 mln
ndani ya miaka 2 tayari hela imesharudi na hapa ni kama si mkataba,kama ni mkataba unaachia gari ukiwa na hela nyingi zaidi.
nyumba si uwekezaji mzuri kabisaa,labda kwa malengo ya muda mrefuja
Ni bora hadithi za kilimo cha matikiti kwa eka kuliko kuzika pesa chini.Jaribu kuchukua mkopo mil 80 halafu nunua hiyo eicher nenda na hizo hesabu njoo baada ya miaka miwili uone kama uko realisric au ni zile hadithi za kilimo cha matikiti maji kwa eka na bei ya tikiti kuwa ni wastani wa elfu mbili.
Kodi unalipa sh ngapi kwanza kwa mwezi? Ushawza utakapofikia umri wa miaka walau 70 huna hata kibada utakuwa unaishi wapi na kwa nani?Ni bora hadithi za kilimo cha matikiti kwa eka kuliko kuzika pesa chini.
Yeye muache huyo ni mjanja ,ngoja kwanza awekeze kwenye biashara na maisha yetu ni uncertainty Yani kila kitu ni uncertainty anayebisha anyooshe mkono juu.Tuache maneno mengi na ujuaji mwingi nyumba nimuhimu sanaa aswa unapokuwa na familia.
Bro wewe wekeza kwenye eicher afu tuletee mrejesho kabisa.hata kujenga nyumba ya kupangisha bado sio uchaguzi mzuri kibiashara.
mfano nyumba uliyojenga kwa 80mln tabata,unawezapangisha kwa 250-300 kwa mwezi.
300×12=3.6ml÷ 80mln=biashara kichaa.
wakati eicher la 80ml linaingiza 4.5ml kwa mwezi.
4.5mln×12=54 mln
ndani ya miaka 2 tayari hela imesharudi na hapa ni kama si mkataba,kama ni mkataba unaachia gari ukiwa na hela nyingi zaidi.
nyumba si uwekezaji mzuri kabisaa,labda kwa malengo ya muda mrefu.
Mkuu miaka na miaka milongo na milongo ama milenia na milenia mbona binadamu aliishi nyumba ya udongo ,mapangoni,bila hata nguo ama wamefunga ngozi tu hapo kwenye pa kukojolea si waliishi ama unajiona saivi ndo unaishi na huku saivi hata haufurahii maisha Kama walivyoishi hapo zamani.Tunazungumzia mafanikio kwa watu wenye utimamu wa akili na bongo zinazofikiri na kuchakata mambo vizuri.
Ni mpumbavu tu atakayesema kuzaa watoto ishirini ambao wanatembea na kaptula za makalio wazi huku wakilala kwenye kijumba cha udongo nayo ni mafaniko.
Mapori bado yako duniani, kwa nini hauamii kwenye pori mojawapo ule asali, matuda na sungura wa kuchoma?Mkuu miaka na miaka milongo na milongo ama milenia na milenia mbona binadamu aliishi nyumba ya udongo ,mapangoni,bila hata nguo ama wamefunga ngozi tu hapo kwenye pa kukojolea si waliishi ama unajiona saivi ndo unaishi na huku saivi hata haufurahii maisha Kama walivyoishi hapo zamani.
Nikuambie maisha ya zamani enzi hizo watu walienjoi kuliko saivi. Nowadays you've to work manya hours just paying for some non basic needs shit.
Mbona waeskimo wanaishi kwenye nyumba za barafu mkuu.
Nguo zimekuja tu miaka ya 1960s before that watu walikuwa wanatembea na ngozi tu mkuu na maisha yanaenda.
So impinge huyo jamaa hapo juu kila mtu katika maisha haya Ana matazamio yake kuwa afanikishe Nini.
Ukivaa nguo ya milioni what then?
Binafsi huwa na wish ningezaliwa zamani ni mwendo wa nyama choma matunda pori free from genetic modifications seed, asali, ndege wa porini mayai ya kanga mnatega sungura. Yaani kulikuwa hakuna complications Sana Kama Zama hizi
sijui kaka umenielewa,kasome post no 2 ni yangu pia.Bro wewe wekeza kwenye eicher afu tuletee mrejesho kabisa.
Acha kila mtu ayaishi mawazo yake.