Kujenga ukiwa tayari una familia si mchezo

Kujenga ukiwa tayari una familia si mchezo

Imetokea kwa besti wangu. Roho inaniuma sana. Shemela anaingiza majamaa utadhani Nabi anafanya sub Utopoloni
Sasa kama jamaa kavuta kamba kuna ubaya gani mkewe kuliwa? Mie siku hizi nachepuka na wajane tu kuwafariji maana tushaambiwa mke wa mtu ni sumu na marehemu sio mtu
 
Ni kweli ila mkitia nia na mkeo mnaweza kuimaliza kwa wakati na mipango maalum,ila tu muwe mnamalengo sawa na mkeo
 
Dah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa bado hujaanza familia itakua bora sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu.
Huu ndo ukweli....nilijenga nyumba 3 kwa mpigo ikiwepo 1 yakwangu binafsi ya kuishi nikazimaliza zote ndani ya mwaka mmoja mbili nikapangisha moja nikafanya ya kuishi na nikaamua kuoa and that was 2020....mwaka huu nimeanza tena ujenzi wa servant quarter mbili tangu mwezi March nimeambulia kujenga msingi tu and I don't see nikimaliza karibuni maana mambo yamekuwa mengi kuliko kawaida......anyway wanetu tuendelee kupambana tu
 
Back
Top Bottom