The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Kweli kabisa ukicutt off ada ungesha kuwa na kwako, naelewa unacho experiencing.Noumaa Mzee ada ni kipengele Sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa ukicutt off ada ungesha kuwa na kwako, naelewa unacho experiencing.Noumaa Mzee ada ni kipengele Sana aisee
Ushauri mwingine kwa Wafanyakazi wa Umma ni kufanya kilimo cha kujikimu hasa kwenye mazao ya chakula na mboga mboga. Binafsi, nalima Mpunga, Mahindi na Ngano, vilevile nafuga kuku, ng'ombe na mbuzi. Hivyo, sihitaji kununua sokoni baadhi ya mahitaji yangu na surplus nauza. Hapo wakati wa kujenga hutakuwa na stress. Ukihitaji kuku unaingia bandani unafyeka mmoja mnakula na watoto.Ni ukweli kabisa usingizi unakata saa 9 usiku unawaza wapi upate pesa ya nondo na sementi yakutosha ili ufunge lenta, wakati huo huo watoto wanahitaji ada zao mhula unaisha, mama anakuambia nafaka inakaribia kuisha, mshahara unao tegemea unamkopo tayari lol!
Kujenga kuna mungu......nyumba yangu ya kwanza nilijenga Nikiwa Tayari Nina watoto wanne Ila kwakuwa ndo Wakati ulikuwa umefika namifereji kufunguka sikuona ttzo.......hivyo unaweza ukiwa tayari umeshaanzisha familiaWatoto watano ? Mi nikadhani usizidishe watatu mkuu, unless una pesa nyingi, ukiwa na watoto watatu kuna kipindi itafika ada za watoto kwa mwaka ni 6M hapo hawajala hawajafanya kitu kingine chochote
Hivi Hakuna uwekezaji kwenye majengo! Mi nahisi uwekezaji kila mtu ana aina yake anayoimudu hivyo usione anaefikiria biashara ya majengo pia na uwekezaji hata watoto wakiukuta wataona kabisa faida ya Huo uwekezajiYaani wanawaza kujenga na kusubr kufa..hawawazi hata kumiliki biashara kubwa,matokeo yake umaskini unaenda kizazi hadi kizazi.hakuna anaye waza nje ya box,hawawazi hata angalau watoto wakute wazazi walifanya uwekezaji ili watoto waendeleze.
Hesabu ni tatizo sana, hivi unajua hata ulichokiandika kweli?, salio 700,000 kila mwezi ukiweka kwenye nyumba itakuchukulia miaka 20 kijenga nyumba ya 50m.
Ukiwa mwanaume jitahidi kuwa mbinafsi, uwe unaji spoil wewe kama wewe.Bado hiyo nyumba unayoijenga kwa tabu,ukiishimo sana ni 15 years,kisha utamwachia huyo Mkeo ambaye hata haja struggle kuipata kama wewe.
Dunia haipo fair kabisa kwa upande wa Mwanaume.
Wapi huko ada million 6.Watoto watano ? Mi nikadhani usizidishe watatu mkuu, unless una pesa nyingi, ukiwa na watoto watatu kuna kipindi itafika ada za watoto kwa mwaka ni 6M hapo hawajala hawajafanya kitu kingine chochote
Hyo laki 7 inayobaki labda iwe negative mkuuHela ya mshahara haijengi ndo maana unaumia imagine mshahara wako take home ni 1.3m monthly, nyumbani matumizi ni 15000 kila siku kwa mwezi 450k usafiri wako ni na luch 5000 kila s siku 150,000 kodi ya nyumba ni 200k, jumla 800,000, salio 700,000 kila mwezi ukiweka kwenye nyumba itakuchukulia miaka 20 kijenga nyumba ya 50m. Kama umeanza kujenga na miaka 40 unaingia nyumba ukiwa 60yrs
Ukiwa mwanaume jitahidi kuwa mbinafsi, uwe unaji spoil wewe kama wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wake watoto wanakua na wala hawatakumbuka siku walizokula ugali na mchicha wakati unaweka nguvu katika ujenzi.Majukumu kibao mkuu huku Kodi, matumizi ya daily , wazazi upige tufu kidg na ada za watoto na matumizi yao ya kila siku shule sio kitoto lazima kichwa kiumee alafu na umri nao ndo unatupa mkono dah
Tatixo la sisi watu wa mijini mtotot wa miaka 25, 23 22 20 bado unakua ma mawozo ya kitoto hamwezi kubadilishana mawozo ya kujenga, akili zao zimejaa betting premier league Simba na yanga film za kizungu. Apple za simu nk.........watoto wamjini wanakua miili na akili za darasani ila zamazingira wanachelewa sana kujitengemea na kusaidia mzazi kimawazo.Uzuri wake watoto wanakua na wala hawatakumbuka siku walizokula ugali na mchicha wakati unaweka nguvu katika ujenzi.
Ni vizuri kuwa na vijana wa kubadilishana nao mawazo ukiwa na miaka 50. Maana yake ukiwa pats ukiwa na miaka 25+.
Usiwe na simu ya mkononi ili mizinga kwa wakwe isiwepo!Hata kama mlokole jizime data kama vile umelewa!Dah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa bado hujaanza familia itakua bora sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu.
Waambie waache;Tatixo la sisi watu wa mijini mtotot wa miaka 25, 23 22 20 bado unakua ma mawozo ya kitoto hamwezi kubadilishana mawozo ya kujenga, akili zao zimejaa betting premier league Simba na yanga film za kizungu. Apple za simu nk.........watoto wamjini wanakua miili na akili za darasani ila zamazingira wanachelewa sana kujitengemea na kusaidia mzazi kimawazo.
[emoji2][emoji2][emoji2]Usiwe na simu ya mkononi ili mizinga kwa wakwe isiwepo!Hata kama mlokole jizime data kama vile umelewa!
Dunia ya Leo utaishi vip mkuu bila simuUsiwe na simu ya mkononi ili mizinga kwa wakwe isiwepo!Hata kama mlokole jizime data kama vile umelewa!
Ni wazo zuri ila naongezea kama ukiwa na vyanzo vingi au kipato kinachowezesha kujenga, kujikimu na kuhudumia familia inakuwa vyema pia.Dah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa bado hujaanza familia itakua bora sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu.
Kwa mshahara pekee wa Ofisa wa kawaida Serikalini (Halmashauri na Wizarani) ambaye hana madaraka ya ukuu wa Idara kufikia mshahara take home 1.3 ni umekaa not less than 15 years. Kwa pato hilo pia majukumu, inabidi ujenge nyumba ya kawaida sana laaa sivyo kazi unayo, unaweza usimalizeSi ndio hapo,huyo Jamaa anazungumzia maofisa wa taasisi nzuri ila majority hawako huko..
Mwalimu anaanza na 900k Sasa Hadi aje afike huko ameshakaa kazini zaidi ya miaka 10 sawa sawa na maelfu ya wafanyabiashara wengi wa Serikali..
Ndio sababu bila dili za udokozi na ukosefu wa uadilifu wa hapa na pale huwezi kutoboa Kwa salary ni ngumu sana.
We Jenga unaweza usife pia. Hatuwezi kuacha kufanya vitu Kwa hofu ya kifo Wacha kije Kwa wakati wako. Ikiwa hivyo tutaogopa kuzaa kisa mtoto ana mwaka tu nimekuta nani atamlea...etc. na vifo hutokea dunia haijawahi kuacha kwenda mbeleSasa unajenga... ile unamalizia ujenzi tu unadedi... wahuni wanakuja kumla wife tunda kimasihara kwenye nyumba yako