ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Too theoretical ingawa ukweli kwamba atasevu 700,000 hana hiyo jeuri alijitahidi sana Kwa kujibana ni 400k..Hela ya mshahara haijengi ndo maana unaumia imagine mshahara wako take home ni 1.3m monthly, nyumbani matumizi ni 15000 kila siku kwa mwezi 450k usafiri wako ni na luch 5000 kila s siku 150,000 kodi ya nyumba ni 200k, jumla 800,000, salio 700,000 kila mwezi ukiweka kwenye nyumba itakuchukulia miaka 20 kijenga nyumba ya 50m. Kama umeanza kujenga na miaka 40 unaingia nyumba ukiwa 60yrs
Omba kuwe na posho la sivyo matumizi ya hela ni makubwa sana kijamii