Kujenga ukiwa tayari una familia si mchezo

Dah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa bado hujaanza familia itakua bora sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu.
Uko sahihi mkuu...
 
Masikini nyie bwana yaani kwao wanahisi nyumba ndiyo kila kitu! Mlaaniwe
Yaani wanawaza kujenga na kusubr kufa..hawawazi hata kumiliki biashara kubwa,matokeo yake umaskini unaenda kizazi hadi kizazi.hakuna anaye waza nje ya box,hawawazi hata angalau watoto wakute wazazi walifanya uwekezaji ili watoto waendeleze.
 
Kwa hiyo kujenga sio muhimu?kama unaenda chooni kwa shemeji yako unaweza ukaona sio muhimu
 
Ni muhimu,lakini kuna mengi makubwa ya kupewa umuhimu..nyumba ni basic need,siyo issue ya ku struggle kihivyo.
 
Kama una family [emoji128] na unakaa nyumba ya kupanga then bado Ada za shule ,matumizi ya family lazima utafikiria ujenzi ili ikupungunzie mzigo mf unalipa kodi laki 2 au 3 kwa mwaka 3.6 M ,ukijenga means unaweza struggle kwa kipindi kifupi but baadae hiyo hela unaipeleka shule na mambo mengine binafsi huku ukiwa ndani ya nyumba yako
 
Dah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa bado hujaanza familia itakua bora sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu.
Fanya ufanyavyo, hakikisha hukutanishi ADA ya mtoto wako wa kumzaa, na UJENZI
 
Kabisa hiyo ndiyo akili za hawa mijitu sijui ikoje aisee
Yaani wanawaza kujenga na kusubr kufa..hawawazi hata kumiliki biashara kubwa,matokeo yake umaskini unaenda kizazi hadi kizazi.hakuna anaye waza nje ya box,hawawazi hata angalau watoto wakute wazazi walifanya uwekezaji ili watoto waendeleze.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu acha uoga tunapambana kama jinsia ya kiume ada tunaitenga na ujenzi tunapambana noa na sherehe pia tunaudhuria.
We pambana. Na huko kutokukutanisha ada na ujenzi, namaanisha kwa nyumba ya kwanza..!!!
 
Back
Top Bottom