Mbona laki ni ndefu cha 20,000 ni mtihani, kuna sehemu nilienda nikakutana na watumishi zaidi ya 50 ila pale niliwangalia kuanzia chini mpaka juu, sikuona mwenye kiatu cha 50k, mwenye suluwale isio ya mtumba, shati wengi kunyosha ni mtihani wengine waliva mashati ya vitegi, ni kajisemea mwoyoni hao wanaish maisha magumu tu.We unazungumzia kujenga ukizubaa hata kiatu cha laki moja ni shida[emoji3]