Kujenga ukiwa tayari una familia si mchezo

Hapo ndio utambue kuwa ukiachalia swala LA age difference between Mme na Mke,hizo stress za majukumu lazima zitafanya ufe haraka.

Imagine hapo utafute kwa akili ya Mke na watoto-chakula bado,bado uhakikishe unamfarahisha mkeo ukiwa ndani ya hizo hizo stress-bado uhakikishe huko unapopatia hela zako pawe sawa.
Kwa hali hiyo kwa nini usife haraka
 
Dah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa Bado hujaanza familia itakua Bora Sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu
Mjomba wangu aliwahi niambia!

"Uncle usipojenga mtoto akiwa bado mdogo au mkeo mjamzito,au bado hujazaa, Aiseh hutajenga kabisa hadi ustaafu""

Ni kweli,vile nilivojenga enzi zile ndivyo vinavyonisaidia KWA sasa!!!
 
Dah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa Bado hujaanza familia itakua Bora Sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu
Hela ya mshahara haijengi ndo maana unaumia imagine mshahara wako take home ni 1.3m monthly, nyumbani matumizi ni 15000 kila siku kwa mwezi 450k usafiri wako ni na luch 5000 kila s siku 150,000 kodi ya nyumba ni 200k, jumla 800,000, salio 700,000 kila mwezi ukiweka kwenye nyumba itakuchukulia miaka 20 kijenga nyumba ya 50m. Kama umeanza kujenga na miaka 40 unaingia nyumba ukiwa 60yrs
 
Hapo ndio utambue kuwa ukiachalia swala LA age difference between Mme na Mke,hizo stress za majukumu lazima zitafanya ufe haraka.

Imagine hapo utafute kwa akili ya Mke na watoto-chakula bado,bado uhakikishe unamfarahisha mkeo ukiwa ndani ya hizo hizo stress-bado uhakikishe huko unapopatia hela zako pawe sawa.
Kwa hali hiyo kwa nini usife haraka
Dah kweli mkuu yaan tabu tupu tu yaani mpk sometime unawaza mpk akili ya mwisho ila ndio maisha ila vijana ambao Bado better fanya mapema aisee
 
[emoji38][emoji38][emoji38] ila kama ana watoto hawapati shida mkuu kibaya asingekua na sehemu madogo wangepata shida
Kama watoto wenyewe ni wake sasa. Kwa uchepukaji ule unaweza kuta mshkaji alikuwa analelea wajuba.

Ni sawa na umnunulie gari mkeo afu wajuba wanaompa hela za mafuta ndio anawaona wana thamani... Mimi ndo maana sipendi kumiliki bastola...
 
Hela ya mshahara haijengi ndo maana unaumia imagine mshahara wako take home ni 1.3m monthly, nyumbani matumizi ni 15000 kila siku kwa mwezi 450k usafiri wako ni na luch 5000 kila s siku 150,000 kodi ya nyumba ni 200k, jumla 800,000, salio 700,000 kila mwezi ukiweka kwenye nyumba itakuchukulia miaka 20 kijenga nyumba ya 50m.
Nani analipwa iyo 1.3m?
 
Dah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa Bado hujaanza familia itakua Bora Sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu
Tatizo la kuwahi kujenga ni pale unapogundua kia ramani yako ni old fashioned!!

HUWA inauma sana unakuta wenzio wanajenga Brand New Bungalows!!
 
Hela ya mshahara haijengi ndo maana unaumia imagine mshahara wako take home ni 1.3m monthly, nyumbani matumizi ni 15000 kila siku kwa mwezi 450k usafiri wako ni na luch 5000 kila s siku 150,000 kodi ya nyumba ni 200k, jumla 800,000, salio 700,000 kila mwezi ukiweka kwenye nyumba itakuchukulia miaka 20 kijenga nyumba ya 50m. Kama umeanza kujenga na miaka 40 unaingia nyumba ukiwa 60yrs
Embu mkuu njoo na Hesabu ya kima Cha chini Cha mshahara serikarini ili tuone hiyo hesabu
 
Back
Top Bottom