Kujenga umoja wa kitaifa kunatugharimu kupoteza lugha zetu za makabila yetu. Nini kifanyike?

Kujenga umoja wa kitaifa kunatugharimu kupoteza lugha zetu za makabila yetu. Nini kifanyike?

Culture za makabila ya tz zitakusaidiaje katika ulimwengu wa leo?
 
Naona huu uzi unapata comments nyingi sana toka kwa vilaza wasioelewa maana ya utamaduni na tunu za taifa. Tusubiri wachangiaji wengine wenye akili wachangie. Ambao tayari mmechangia hadi sasa wengi wenu ni madebe matupu.
 
Serikali iandae mashindano ya makabila kwenye michezo mfano kuwe na timu ya mpira kulingana na makabila yetu

Kuwe na mashindano ngoma ama nyimbo za asili kitaifa ya makabila

Tuwe na siku ya makabila kitaifa ambayo itakuwa na maonyesho na maazimisho pia

Tutengeneze kamusi za makabila yetu yenye tafasiri ya kiswahili

Kama ambavyo mashuleni kuna vipindi vya dini kwa week mala moja Basi kuwe na kipindi cha makabila kwa week Mala moja ili watoto waweze kujifunza kiluga
 
Umeongea points tupu.
 
Ninawasalimu kwa jina la chama pendwa CCM.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba hili jambo limenitafakarisha sana. Tukumbuke mara baada ya uhuru waasisi wa taifa walipambana sana kujenga umoja wa kitaifa kwa mbinu nyingi na juhudi kubwa.

Kiswahili kilitumika na kinaendelea kutumika taifa zima la Tanzania. Ni nadra sana kukuta nchi ya kiafrika inaongea lugha moja. Tanzania tumeweza. Kutoka Mutukula hadi Mbamba Bay lugha ni moja KISWAHILI.

Waasisi hawakuishia kwenye lugha tu. Hata kwenye elimu na ajira walimtoa wa kaskazini nakumpeleka kusini na wa mashariki kwenda magharibi ili watu wachanganyike na kuzidi kuangamiza ukabila. Hili pia limefanikiwa sana.

Nyakati za uchaguzi hapa nchini huwa watu wanapigania vyama na ni ngumu kukuta mambo ya ukabila yanazungumzwa. Ni bahati mbaya kwenye utawala uliopita ndo kidogo karibia utuletee mambo ya ukabila Mungu akaepusha.

Lakini kwa bahati mbaya zoezi la watu wa makabila tofauti kuoana limeleta changamoto ya watu wengi kutojua lugha za makabila yao. Mojawapo ya mambo muhimu kwenye kulinda utamaduni wetu ni kuwarithisha vizazi lugha zetu za asili.

Vijana wengi kwa sasa hawajui tena lugha za makabila yao. Mtu ni mchaga lakini hawezi kuongea kichaga. Au Msukuma lakini hajui Kisukuma.

Binafsi napongeza waasisi kwa huu umoja wetu ila kama taifa tufikirie namna gani tunaweza linda lugha zetu zisipotee kabisa. Kwenye kizazi cha miaka ya 2000 wapo watu wachache wanaoweza zungumza lugha za makabila yao. Nadhani sisi wa 80's ndo angalau wengi tunajua lugha za asili zetu. JE, NINI KIFANYIKE?
Kwa kuwa umesalimia kwa chama chenye watu million kumi wanachama akiwemo makonda,sabaya na biswalo ,sisi watanzania tusio ccm mil 60 tunawatakia kila la heri kwenye mjadara yenu.WANACCM LINI TUTAWAAMBIA ADUI YUKO NDAN SIO CHADEMA KIJANA WA AINA HII WA KUSAKA UKUU WA WILAYA KWA ENZI ZA MAGU TUNALEA BADO
 
Mjadara = mjadala. Kwa uandishi huu ni bora ukakaa kimya. Huu mjadala ni kwa wenye akili tu kitu ambacho wewe huna.
 
Haya ni mawazo ya hovyo
Serikali iandae mashindano ya makabila kwenye michezo mfano kuwe na timu ya mpira kulingana na makabila yetu

Kuwe na mashindano ngoma ama nyimbo za asili kitaifa ya makabila

Tuwe na siku ya makabila kitaifa ambayo itakuwa na maonyesho na maazimisho pia

Tutengeneze kamusi za makabila yetu yenye tafasiri ya kiswahili

Kama ambavyo mashuleni kuna vipindi vya dini kwa week mala moja Basi kuwe na kipindi cha makabila kwa week Mala moja ili watoto waweze kujifunza kiluga
 
hv huo uchafu mnaufagilia unawasaidia nn ? bdo waafrika tuna akili za kima , zikibakia ndo chanzo cha ukabila hicho na kutugawa na kutokuwa na muono mmoja
 
Utawala wa machifu urudishwe. Machifu wawe na tawala zao za ndani na serikali iwape ruzuku za kujiendesha kama ilivyo Uganda au South Africa
mkiitwa kima mnabisha , chifu anafaida gan ,km kila kiongoz wa rank zote yupo kitongoji -kijiji/Kata , wilaya , mkoa na taifa
 
Naona huu uzi unapata comments nyingi sana toka kwa vilaza wasioelewa maana ya utamaduni na tunu za taifa. Tusubiri wachangiaji wengine wenye akili wachangie. Ambao tayari mmechangia hadi sasa wengi wenu ni madebe matupu.
ttzo huna akili ya kulinganisha athari na faida , Somalia , Msumbiji , Drc , Rwanda , C.Africa , Liberia , Sierra Leone , Libyia etc kote huko ukabilia umechangia kwenye fujo kukua au kutopata solution ya kitaifa sabab hakuna makubaliano ya pamoja , UTAMADUNI WAKO HAUWEZ POTEA KISA LUGHA HUITUMII TENA , KUMBU KUMBU ZINATUNZWA KWENYE VITABU , LUGHA ZA KABILA ZINALETA UKABILA NENDA UGANDA UONE WANAVYOTENGANA KISA WATU SIO WA LUGHA MOJA
 
mkiitwa kima mnabisha , chifu anafaida gan ,km kila kiongoz wa rank zote yupo kitongoji -kijiji/Kata , wilaya , mkoa na taifana
Kwa hiyo weww nyani ndiyo unajiona una akili?
 
Hizi ligha za kikabila zife kabisa kifo cha asili.Napenda kuona hapo mbeleni watz wote wawe wanajua kuongea kiswahili tu.Ndoto ya Baba wa Taifa.
Usimlishe Baba wa Taifa maneno ambayo hakusema. Yeye alipinga ukabila na si makabila. Naamini waweza kuona tofauti hapo.
 
Mjadara = mjadala. Kwa uandishi huu ni bora ukakaa kimya. Huu mjadala ni kwa wenye akili tu kitu ambacho wewe huna.
Watu wajinga hujikita kwenye kasoro za kipuuzi hata ofisini ukiona bosi anakomaa na sijui uniform mara kuchelewa huwa kilaza.badala ukishaelewa dawa umeze ww unakosoa mwandiko wa docta
 
Tukiwa na hiyari tutakuwa tayari.Lugha zako za asili/lugha mama/lugha za kienyeji siyo kigezo cha maendeleo.Sanasana zitufundishe uchawi tulogane.Maana hatuwezi kulogana kwa manuizo ya kiingereza.
Lugha sio uchawi. Lugha ni maneno ya mawasiliano kati mtu na mtu au watu. Kujua Kiingereza au Kiswahili sio kigezo cha maendelep pia. Wengine hawajui kuwa Marekani kuna makabila na lugha zao zinaheshimika. ingawa Kiingereza kinatamba. Halafu huji historia Marekani imefikia hapo ilipo kwa vipi. Hoja kubwa tueneze Kiswahili lakini tusiue lugha zetu. Afrika kuna nchi zina maendelea mazuri kuliko Tanzania? Je wameua lugha zao za asili? Maendeleo yanatoka na badiliko la fikra za mtu anayepata elimu juu ya maisha. China kuna lugha kadhaa bado zinaheshimika na kufunzwa. India kuna lugha kadhaa na nchi zinazoendelea kwa kasi. Lugha sio maendeleo bali yanatokana na watu wanaotaka kubadilika.
 
Back
Top Bottom