Kujiajiri/Ujasiriamali ni homa ambayo ikikushika haitoki, ila wahitimu wengi vyuo vikuu wana chanjo tayari!

Ahsante sana mkuu nimekuelewa vizuri sana.
Kwahiyo hapa njiandae for a decade, Sawa
Funga kabisa mkanda, safari bado Sheikh wangu. Hakuna short cut kwenye financial freedom. It will take at least a decade, for sure.!

Sikukatishi tamaa, ila ndo uhalisia wenyewe. Ukitaka utoboe in a few next years, sanasana utaambulia magonjjwa ya moyo tu!
 
Kupata kazi au ujasiriamali kwa maoni yangu inategemeana na factors nyingi, kama

Ishu za kiroho (spiritual matters)
Ishu za mahusiano (Relationship matters)
Kujituma (commitment)
Uaminifu
Kujitolea
Availability of relevant information
Connection
Etc

Kwa mfano kuna sehemu moja inaitwa kigadye maharage huwa ni cheap sana
But utapata wapi hii taarifa, nani atakupa

Kila mtu humu aliyefanikiwa kufika mahali flani kwenye kipato aidha kuajiriwa au kujiajiri anaweza kushea yeye alifikaje hapo alipofika utagundua inafall kwenye factors nilizozieleza hapo juu au nyinginezo
 
Nachowashauri vijana waache uwoga tu kama wana malengo.Mimi niliacha chuo mwaka wa kwanza semister ya pili akati inaanza.Nikatimka nikarudi home mara moja,home nikaona miyeyusho.Nilikuwa na akiba ya 170k nikasepa home nikaenda mkoa x kuanza life.Baada ya hustle nikasettle nikapata savings nikatimkia jiji pendwa(Dsm).Now nipo under 24 years and i feel proud of me najitegemea (sio kwa mshahara) bali kwa profits.


MIND YOU,ITS NOT THAT EASY KUNA KULALA HADI KWENYE MKEKA😂🖐️
 
Nimecheka hiyo paragraph ya mwisho🤣
 
Ningekupa marketing courses ila nakupataje mkuu.
 
Kila mtu ashinde Mechi zake tu hakuna namna and Finally Kila kitu kitakuwa wazi na hutahitaji tena kuwa mwalimu kwa wengine maana tayari Dunia yako itakua imeona ni wapi umetoka. Ila weka akilini tu usije kuwa msaliti wa ndoto zako mwenyewe.
 
Story yako inataka kufanana na yangu, Mungu akutangulie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…