Kujiajiri/Ujasiriamali ni homa ambayo ikikushika haitoki, ila wahitimu wengi vyuo vikuu wana chanjo tayari!

Nsomba maelezo kidogo kihusu huko kigadye mkuu
 
Vitabu vinafundisha vitu vingi sana vizuri na vinaongeza maarifa sana, but vitabu vingi hivyo havijaelezea hali yetu ya mazingira ya kiafrica so inakuwa ngumu kuaaply kile ulichokisoma kwenye vitabu ili kufanikiwa, kitu kizuri cha kuongezea hapo tafuta ushauri kutoka kwa wajasiliamali wa hapa waliofanikiwa naamini utaongeza maarifa na utaelewa kinachofanyika na tofautii na kwenye vitabu.
 
Unatutisha ujue
 
Good lucky, ingawa bongo sisi vijana kuinvest na kutoka ni ngumu na inachanganya Sana unaweza onekana chizi bado ukandamizaji mwingi kwa idara za serikali zinazosimamia biashara ila nakuombea utatusua tu
 
Good lucky, ingawa bongo sisi vijana kuinvest na kutoka ni ngumu na inachanganya Sana unaweza onekana chizi bado ukandamizaji mwingi kwa idara za serikali zinazosimamia biashara ila nakuombea utatusua tu
Idara za serikali nyingi zinataka TAKRIMA ukiwa nazo penyeza rupia.

Tatizo kwa mtu anaeanza biashara hizo mbumba za takrima atazitoa wapi Hela yote Iko calculated kwenge uendeshaji wa biashara

Lazima akwame mahali au apunguze mtaji kufanikisha vibali hapa na pale.

Africa tabu sana.
 
Kabisa, Ahsante sana.
 
Africa na kitabu wapi na wapi, kama unataka biashara tafuta role model, au tafuta ushauri kwa watu waliofanikiwa utumie ushauri wao. Ndugu utakufa na hayo mavitabu na hautapata chochote.
 
Africa na kitabu wapi na wapi, kama unataka biashara tafuta role model, au tafuta ushauri kwa watu waliofanikiwa utumie ushauri wao. Ndugu utakufa na hayo mavitabu na hautapata chochote.
Kufuata ushauri kwa waliofanikiwa nakubaliana na wewe 💯 ila kwamba wa Africa ndio hatutakiwi kusoma vitabu hapo hauko sahihi kabisa.
 
Mkuu hata usifate ushauri wa waliofanikiwa, wengi wana kona kona nyingi. Kuna walioiba government funds, kuna washirikina wameua ndugu zao, mama zao watoto, wake zao, kuna waliofanya biashara haramu mfano meno ya faru, tembo na nyara mbalimbali za serikali. Kuna waliofanya dili haramu nyinginezo kama uuzaji wa dawa za kulevya, viungo vya binadamu n.k

Hawa wote mwisho wa siku lazima wasafishe fedha zao ndio utasikia mara wamefungua viwanda, mahoteli na biashara mbalimbali. Je una lipi la kujifunza kutoka kwa hawa philanthropist?

Umesoma vitabu vya motivational speakers wa duniani lakini principles zake zinaweza zisiwe relevant kwa nchi yetu. My take is do the hard work in a smart way, hapo hapo ulipoanzia kazania kuzuia leakage ya mapato kama vijana uliowaajiri wanakuibia rekebisha, faida unayopata tanua biashara na ikiwezekana fungua biashara nyingine.
 
Ushauri wangu; vitabu vingi vya wazungu vimeandikwa kwa kuzingatia mazingira ya biashara ya kwao kwaiyo havipo applicable katika mazingira ya Afrika pia vitabu vipo outdated maana tangu mtu anakusanya tips za kuandika, anachapisha, anatafuta vibali vyote, anapublish kitabu chake ndio kinaingia sokoni huo mlolongo unaweza kuchukua miaka kadhaa kwaiyo unakuta yaliyoandikwa humo tayari ni outdated kwenye mazingira ya leo ambayo dunia inabadilika kila siku, ushauri penda kukusanya information mitaani izo zinakua currently data kuliko kutegemea sana vitabu vya wazungu na hata wabongo wenzako pia.
 
Chukua kitabu kingine kinaitwa Forex Bible
 
My take is do the hard work in a smart way, hapo hapo ulipoanzia kazania kuzuia leakage ya mapato kama vijana uliowaajiri wanakuibia rekebisha, faida unayopata tanua biashara na ikiwezekana fungua biashara nyingine.
👍🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…