Baada ya kuona hayo bashiru katumia huo mwanya kuwaalika CcmHii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana
Kweli kabisa, mwanamke unamtariki halafu hutaki aoelewe na wanaume wa kweli, hii siyo!?Kama chadema hawawataki wahamie chama chochote ili mradi wanawatumikia watanzania
Tunajua kabisa watawapa reward, hilo linajulikana.....Wawape na ukuu wa Mikoa na uwaziri.......................... lkn CDM itaheshimu misingi yake.Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana
Hahahaaaa... mwenyekiti wa MATAGA mwenyewe anawaheshimu na kuwaogopa sana hadi alifikia kuwaita "wanaume wa shoka", sembuse wewe comrade?Wazungu na pua zao ndefu hawana jeuri hiyo!
Halma is a smart mp, she knows what it takes on this. She will smartly retaliate, just bear patiencewalisema leo , na kesho siyo leo
Watanzania wanatumikiwa na wanafiki?Kama chadema hawawataki wahamie chama chochote ili mradi wanawatumikia watanzania
Ni uhuru wa mtu kuhama ila kwenu wanaogopa yaliyomkuta Mzee Mangula.Makada wa chadema usaliti ndo jadai yenu. Hamuaminiki kabisa! We ulisikia wapi hata makatibu wa kuu wa chama kujivua uwanachama na kujiunga na kingine!
Waende huko kwani tayari baadhi ya makada wa CCM wamejimilikisha covid 19 na kuwa michepuko yao rasmi hata Paskal mayala tayari anaishi nyumbani kwa mdee ,kwa mjibu Le mutuz msiri mkubwa wa CCMHii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana
Hakuna Mtambanzania mwenye Akili timamu anawataka covid 19 tenaWatanzania wanatumikiwa na wanafiki?
Hanje chadema wanajua alichezeshwa sinema na mdee pasipo kujua ndiyo maana chadema hawana shida nae wala kumuongelea sana, Tatizo kubwa ni Mdee na Bulaya kwani ndiyo wasuka michongo ya uuzaji na ununuzi wa covid 19 kienyeji kwa njia haramu za kishetaniHapo Mimi namhurumia Nusrat Hanje, wengine hao wameshiriki kupiga deal. Hanje maskini katolewa jela kiaina na kujikuta anatakiwa aape . Na kwake limefanyika kuhalalisha uhalifu
Hazina ya taifa inatumika visivyo
Kwani hao wanafiki ni raia wa wapi mkuu?Watanzania wanatumikiwa na wanafiki?
CCM ipi unaisemea isiyo na wapumbavu? Kwani kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu ni ujanja au upumbavu? Kuwanunua covid 19 kienyeji kwa njia haramu za kishetani ni upumbavu au ujanja? Kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani ni upumbavu au ujanja?Kwani hao The 19 Dadaz wakihamia CCM Kwetu kuna tatizo au watapatwa na mkasa wowote? Ni Mpumbavu tu pekee ambaye ataichukia CCM hii.
Hao covid 19 wataitumia mahakamaccm mali binafsi ya CCM kuwa wabunge wa mahakama mpaka 2025 kitu ambacho kisingewezekana kwenye mahakama huru na hakiHang on, wakihamia ccm watabakiaje bungeni kwa viti maalum? si ccm wameshakamilisha viti vyao maalum? Pia ikiwa watahamia ccm si ina maana bunge halitakuwa na wabunge wa viti maalum kutoka kambi ya upinzani ya chadema? Hili suali naona linazidi kutatanisha na huenda likaenda hadi mahakamani, tusubirini tu!
Wakike wanandungai covid 19 uraia wao anaujua vizuri NdungaiKwani hao wanafiki ni raia wa wapi mkuu?
Ahamie CCM au asihamie kabisa,nyinyi CDM mnanufaikaje..? Na yeye anaathirikaje? Au ni laana gani unayoizungumzia kwenye hoja yako pale juu?Watatanga kuhamia ccm siyo ?
Kina Esther hao wawili wamewaacha wananchi wao waliokuwa pamoja kwenye campaign wakiwa ndani na kesi za kubumba, wengine wameumizwa mwenzao wa Serengeti amepigwa na mwenyekiti wa chama (w) wameumizwa , wengine wamelemazwa . Kumbe wao wanasuka deal la kuwawahi wenzao ktk viti maalumu ?!. INAUMA SANAHanje chadema wanajua alichezeshwa sinema na mdee pasipo kujua ndiyo maana chadema hawana shida nae wala kumuongelea sana, Tatizo kubwa ni Mdee na Bulaya kwani ndiyo wasuka michongo ya uuzaji na ununuzi wa covid 19 kienyeji kwa njia haramu za kishetani
Kuwafuza chadema imeiokoa chama mno kuliko wangebakia chadema ingefariki ghafra na kuwa kama UDP DP TLP NCCR na CUF ya LipumbaTunajua kabisa watawapa reward, hilo linajulikana.....Wawape na ukuu wa Mikoa na uwaziri.......................... lkn CDM itaheshimu misingi yake.
Covid 19 ni hatari kwa afya ya binadamuHIVI HUKO UFIPANI BADO MUNAWEWESEKA MUKIWAOTA HAWA RAIA WASIO NA CHAMA?? MUMEPAYUKA PAYUKA WAKATI WA KUWATIMUA NA MATUSI JUUUU, NAO WAMEAMUA KUJIKALIA KIMYAA, KWA NINI BADO MUNAWAOTA WAMAMA WA WATU? MUMEWATIMUA KIBABE BILA HATA YA KUWASIKILIZA, SASA MNATAFUTA NINI KWAO??
Aliitwa na hakuja. It is too late.Aje ajieleze mbele ya chama atasamehewa
Leo mnajifanya hamuwajui eeh? 😂😂Wakike wanandungai covid 19 uraia wao anaujua vizuri Ndungai