CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Mkuu ninavyowafahamu wale ni wanawake Wa shoka,Yale mabango kwao so chochote wangeyakabili.Thubutu, kwa moto ule uliowashwa pale ufipani na viongozi wakubwa hao wamama wawatu wangefanyiwa kitu mbaya saanaa. Maana uwanja wote ulijaaa waaandamanaji wafuasi wa chama chenuu huku wakishikilia mabango ya kuwatukanaaa. Hata kama nimtuyeyote asingeweza kujitupa kwenye ule moto uliowashwa na viongozi wakuu wa chama. Kwahekima kubwa yawamama wale waliandika ujumbe kuomba wahudhurie kikao kwa siku walio taja na sababu wakatoa, lakini kulingana na jazba za viongozi hawakuwasikia ombilao. Ingekua hawakuandika ujumbe wowote, ndo tungesema walikaidiii. Walitambua kutatua migogoro wakati wote mnahasira mwishowe nikugombana na kusababisha madhara makubwaaa.
Walirchofanya ni kufuata maagizo ya Muuza ndizi Bashiru ,kuwa wasiende kwenye kikao ili wakifukuzwa chadema basi chama cha mafisi kitawapokea.