Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Na kama huna huyo bae wa kumpigia simu je?Hahaha
Bora nipalilie bustani nile walau mboga mie!! Mawazo ya ngono huwa yanakuja kama mtu huushighulishi mwili, lakini kuna ile ya lazima kwamba una uhitaji!! Unamvutia bae wako fasta!!!