Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

Hivi hyo mhanga wa kujuchua akipewa ushauri wa kisaikolojia anaweza kurudi kua normal?
Anaweza sana kurud normal lakin kitakachosaidia hasa ni mtu aliyenaye kwenye mahusiano apewe mbinu za kumridhisha huyo mwanamke ahakikishe anamkojoleshaaa kila wanapogegedana
 
Si ndio kujiselfie ili kujipa self service when need arises alafu inakuwa haipo jirani?

Inaepusha maradhi yatokanayo na ngono, ni cost less na huduma muda wowote ingawa ina madhara psychologically [emoji1] [emoji28]
Hahaha
Sio kwa kujitetea huko!!
 
Sasa ukishajiweka kuwa sina wa kunitimizia hilo, sidhani kama itakusumbua!!
Nakuambia hivyo sababu nshakaa zaidi ya miaka miwili na wala sijaona tabu yoyote ile!!
Hongera! [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Huwa nafurahi sana na kumwamini zadi mtu anayaongea kutokana na uzoefu wake kuliko anayesema tu bila experience yoyote.
 
Anaweza sana kurud normal lakin kitakachosaidia hasa ni mtu aliyenaye kwenye mahusiano apewe mbinu za kumridhisha huyo mwanamke ahakikishe anamkojoleshaaa kila wanapogegedana
Kuna mtu wangu wa karibu ana ilo tatizo binafsi nmeshindwa msaidia..najionea mapichapicha tu..na anahitaji kua kawaida
 
Kuna mtu wangu wa karibu ana ilo tatizo binafsi nmeshindwa msaidia..najionea mapichapicha tu..na anahitaji kua kawaida
Huyo mwanamke kama kweli ameamua kuacha hilo jambooo

Anaweza kupewa ushaur na mbinu ambazo kama ameamua kweli kuacha anapaswa amshirikishe na mpenzi wakeee

Atasahau kabisaa na hatoamini.
 
Back
Top Bottom