Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Nakazia tenaKama huna bae ni kujiweka busy na shughuli zako!! Hata hiyo ya kumuita bae ni sababu unaanza kumfikiria!! Huwa naamini kama huna huyo bae hata hizo mambo huwezi kuwa na mawazo nazo!! Ni namna ya kuiweka akili yako tuu!!!