KUJICHUA NI PAMOJA NA KUPIZI NJE YA MFUMO.

Nepi sio tatizo, tatizo ni kuleta copy yako mazingira ambayo hujapanga
Nepi na kulea ndo huko huko, ukimwagia ndani bc jiandae kulea bila kuleta kisingizio, kama sivyo bc mwaga nje tuu hakuna namna
 
bora huyo aliyeingiza dudu akakojoa nje kuna wenzangu na mie kitu inanyonywa na kulabwa na ndo imetoka hiyo
 
Mheshimiwa leo umekua kama deo kisandu.....
 
Wewe umepizi marangapi
 
Sasa unataka ukojoe ndani kwani choo hakipo 😂

Ila we mbunge
kwahiyo gentleman,
unadhani ukiwa mbunge unatolewa kikojoleo ili usiwe na hamu?

we chai nzito ya maziwa na mapochopocho kama yote, kuku, misamaki kama yote ile huku mkwanja wa uhakika mfukoni mwaka mzima, hizo nguvu za kijinsia si mchezo,

halafu eti kamoja kanasema nakuja but ukojolee nje 🐒
 
Du,ina maana tunao penda jicho pia nayo ni nyeto?
 
Kanuni ni ile ile unakubali kila kitu ila wakati wa utekelezaji unaenda kinyume. Na ukimaliza unakana hujakojoa ndani.
kama huyu muasi na muhaini anaesota korokoroni hivi sasa,

kasema ataongoza uasi halafu tena akiulizwa anakana kwamba hajasema hivyo 🤣
 
kama huyu muasi na muhaini anaesota korokoroni hivi sasa,

kasema ataongoza uasi halafu tena akiulizwa anakana kwamba hajasema hivyo 🤣
Hii haiendani na tulichokuwa tunajadili. Huyo mwamba hata akiondoka ameshatengeneza legacy yake na ataishi mioyoni mwa watanzania wanyonge aliokuwa na anaoendelea kuwapambania. Mimi na wewe tutaacha legacy ya kuzipambania familia zetu pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…