Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #41
Relax bas na Tunsonge mbele pamoja šHii haiendani na tulichokuwa tunajadili. Huyo mwamba hata akiondoka ameshatengeneza legacy yake na ataishi mioyoni mwa watanzania wanyonge aliokuwa na anaoendelea kuwapambania. Mimi na wewe tutaacha legacy ya kuzipambania familia zetu pekee.