Kujichukua sheria mkononi

Kujichukua sheria mkononi

Landa wewe ulitegemea uchukue dakika ngapi ndio uone kawaida?
Kuna jamaa angu Hadi akienda kunnua malaya! Analipa Hela mara mbili maana bao lake linachelewa! Akiwa anabargain anamwambia malaya kabisa mm nachelewa kumaliza! Natamani ningekuwa yy.
 
Wakuu Salaam?
Baada ya kujichukulia sheria mkononi tangia nikiwa form 3 mwaka 2009 hatimae mwaka huu nimefanikiwa kumaliza mwezi bila kujichukulia sheria mkononi.

Njia niliyoitumia ni baada ya kusoma Uzi wa ndugu Mshana Jr kuwa ukiogea chumvi ya mawe kwa siku Saba mfululizo roho ya chafu ya kujichukulia sheria mkononi inapotea.

Nilifata maelezo yote ya ule Uzi now Niko hapa kutoa ushuhuda😂😂😂😂.

Kwa walio teseka na hii Hali na kutamani kuacha lakini wakashindwa basi tiba imepatikana.

Ashukuriwe ndugu Mshana kwa kutusanua.
Nawasilisha.
Broo nina swali "Kwann uliamua kuacha?"
Ulipata side effects gani?
 
Ndio nilikuwa na teseka kama Kuna njia nyingne unaifaham unaweza nisaidia angalau ni overdose hii kitu isinirudie.
Mimi sina njia yakukufanya uache ila nina njia yakufanya isikutese Mkuu, upo tayari au chama ndio umekihama kabisa?
 
Kuna dogo anaitwa ChoiceVariable nilisoma naye, anapiga nyeto mpaka chooni, hio siku napita nasikia mtu anakoroma kama anakufa, nikasema niende kumsaidia, nilimkuta ameshika koki asianguke amelegea kinyama.
 
Weeeh tulia
Hutaki mwenzako afaidi, kupiga puchu kuna faida nyingi
1. Time broo time, mademu wanachukua muda wetu mwingi, wanahitaji attention mara outing mara anataka mwanze kutumiana vimeseji vya kutiana nyege...balaa tupu huo muda bora ujifunze other skills/business ideas za kutafuta pesa
2. Resources zinatumika marejesho kidogo, ukipata mwanamke anayekupenda na asiyekuchuna hongera yako broo lakini kwa hawa malaya waliochangamka broo bora nifanye namna yangu
3. Peace of mind, tumezungukwa na wanawake sio waaminifu kabisa yaan, una invest vitu vingi kwake alaf mwisho wa siku hupati chochote.

But lastly, PUCHU MBAYA WAZEE FANYA KWA KIASI, INA MADHARA SERIOUSLY BOTH MENTALLY AND PHYSICALLY.
Hivi mtu unapata mda kabisa unachezea keyboard 🎹 kwa kuandika upuuzi kama huu aisee...
 
Pucbu ni mke wandoa.😀

Kuachana naye ni mpaka kifo kiwatenganishe.🤣

Acha kuudanganya mkono wako kwamba umeacha hiyo kitu.🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Niombee mkuu niache
 
Kuna jamaa angu Hadi akienda kunnua malaya! Analipa Hela mara mbili maana bao lake linachelewa! Akiwa anabargain anamwambia malaya kabisa mm nachelewa kumaliza! Natamani ningekuwa yy.
Anachelewa kwa muda gani?

Unatakiwa ujue normal time ni ngapi kabla ya kuanza kujilaumu.

Tamani kuwa yeye kwenye mafanikio ya pesa tu, huku kwingine ni sifa tu za kijinga na usikute kuna vitu anatumia kuji bust
 
Nimeamua kutafta tiba baada ya kuona goli la kwanza ndani ya dk 2 nakuwa nimeshautupa mkuu! Nadhan hio ndo side effect ya kwanza.
Mmmmh wakati puchu inasaidia kuenda muda mrefu bila kumwaga.
Nikipataga demu napigaga hadi dakika 45 ndo namwaga kwa msaada wa puchu😅
 
Kuna dogo anaitwa ChoiceVariable nilisoma naye, anapiga nyeto mpaka chooni, hio siku napita nasikia mtu anakoroma kama anakufa, nikasema niende kumsaidia, nilimkuta ameshika koki asianguke amelegea kinyama.
Dah umenikumbusha mbali Sana enzi Niko Chuo Udom nimeenda kuoga kwenye Yale mabafu ya COED nasikia mtu ana toa miguno nikapanda juu kupiga chabo! Aisee nilimkuta Inseevice mmoja anapiga puli nikacheka! Aisee alitoka mle bafuni alinikunja na ubaya alikuwa na umbo kubwa sitaki kukumbuka hii siku.
 
Anachelewa kwa muda gani?

Unatakiwa ujue normal time ni ngapi kabla ya kuanza kujilaumu.

Tamani kuwa yeye kwenye mafanikio ya pesa tu, huku kwingine ni sifa tu za kijinga na usikute kuna vitu anatumia kuji bust
Tulienda wote kununua hapo chako ni chako enzi tuko Chuo Nakumbuka walikuwa wanauza elf 7000 yy alilipia elf 14. Mm nilienda nikapga nikatoka nje nikakaa karbia dk 7 bado hatoki tu! Guest ilikuwa inaitwa Mtanzania Guest sijui bado IPO?😂😂😂
 
Dah umenikumbusha mbali Sana enzi Niko Chuo Udom nimeenda kuoga kwenye Yale mabafu ya COED nasikia mtu ana toa miguno nikapanda juu kupiga chabo! Aisee nilimkuta Inseevice mmoja anapiga puli nikacheka! Aisee alitoka mle bafuni alinikunja na ubaya alikuwa na umbo kubwa sitaki kukumbuka hii siku.
Hahaha hayari
 
Tulienda wote kununua hapo chako ni chako enzi tuko Chuo Nakumbuka walikuwa wanauza elf 7000 yy alilipia elf 14. Mm nilienda nikapga nikatoka nje nikakaa karbia dk 7 bado hatoki tu! Guest ilikuwa inaitwa Mtanzania Guest sijui bado IPO?😂😂😂
We ulitoka baada ya dakika ngapi?
 
Back
Top Bottom