makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mwezi tu, bado wewe usijipe moyo 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa angu Hadi akienda kunnua malaya! Analipa Hela mara mbili maana bao lake linachelewa! Akiwa anabargain anamwambia malaya kabisa mm nachelewa kumaliza! Natamani ningekuwa yy.Landa wewe ulitegemea uchukue dakika ngapi ndio uone kawaida?
Broo nina swali "Kwann uliamua kuacha?"Wakuu Salaam?
Baada ya kujichukulia sheria mkononi tangia nikiwa form 3 mwaka 2009 hatimae mwaka huu nimefanikiwa kumaliza mwezi bila kujichukulia sheria mkononi.
Njia niliyoitumia ni baada ya kusoma Uzi wa ndugu Mshana Jr kuwa ukiogea chumvi ya mawe kwa siku Saba mfululizo roho ya chafu ya kujichukulia sheria mkononi inapotea.
Nilifata maelezo yote ya ule Uzi now Niko hapa kutoa ushuhuda😂😂😂😂.
Kwa walio teseka na hii Hali na kutamani kuacha lakini wakashindwa basi tiba imepatikana.
Ashukuriwe ndugu Mshana kwa kutusanua.
Nawasilisha.
Mimi sina njia yakukufanya uache ila nina njia yakufanya isikutese Mkuu, upo tayari au chama ndio umekihama kabisa?Ndio nilikuwa na teseka kama Kuna njia nyingne unaifaham unaweza nisaidia angalau ni overdose hii kitu isinirudie.
Hivi mtu unapata mda kabisa unachezea keyboard 🎹 kwa kuandika upuuzi kama huu aisee...Weeeh tulia
Hutaki mwenzako afaidi, kupiga puchu kuna faida nyingi
1. Time broo time, mademu wanachukua muda wetu mwingi, wanahitaji attention mara outing mara anataka mwanze kutumiana vimeseji vya kutiana nyege...balaa tupu huo muda bora ujifunze other skills/business ideas za kutafuta pesa
2. Resources zinatumika marejesho kidogo, ukipata mwanamke anayekupenda na asiyekuchuna hongera yako broo lakini kwa hawa malaya waliochangamka broo bora nifanye namna yangu
3. Peace of mind, tumezungukwa na wanawake sio waaminifu kabisa yaan, una invest vitu vingi kwake alaf mwisho wa siku hupati chochote.
But lastly, PUCHU MBAYA WAZEE FANYA KWA KIASI, INA MADHARA SERIOUSLY BOTH MENTALLY AND PHYSICALLY.
Niombee mkuu niachePucbu ni mke wandoa.😀
Kuachana naye ni mpaka kifo kiwatenganishe.🤣
Acha kuudanganya mkono wako kwamba umeacha hiyo kitu.🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Anachelewa kwa muda gani?Kuna jamaa angu Hadi akienda kunnua malaya! Analipa Hela mara mbili maana bao lake linachelewa! Akiwa anabargain anamwambia malaya kabisa mm nachelewa kumaliza! Natamani ningekuwa yy.
Mmmmh wakati puchu inasaidia kuenda muda mrefu bila kumwaga.Nimeamua kutafta tiba baada ya kuona goli la kwanza ndani ya dk 2 nakuwa nimeshautupa mkuu! Nadhan hio ndo side effect ya kwanza.
Dah umenikumbusha mbali Sana enzi Niko Chuo Udom nimeenda kuoga kwenye Yale mabafu ya COED nasikia mtu ana toa miguno nikapanda juu kupiga chabo! Aisee nilimkuta Inseevice mmoja anapiga puli nikacheka! Aisee alitoka mle bafuni alinikunja na ubaya alikuwa na umbo kubwa sitaki kukumbuka hii siku.Kuna dogo anaitwa ChoiceVariable nilisoma naye, anapiga nyeto mpaka chooni, hio siku napita nasikia mtu anakoroma kama anakufa, nikasema niende kumsaidia, nilimkuta ameshika koki asianguke amelegea kinyama.
Tulienda wote kununua hapo chako ni chako enzi tuko Chuo Nakumbuka walikuwa wanauza elf 7000 yy alilipia elf 14. Mm nilienda nikapga nikatoka nje nikakaa karbia dk 7 bado hatoki tu! Guest ilikuwa inaitwa Mtanzania Guest sijui bado IPO?😂😂😂Anachelewa kwa muda gani?
Unatakiwa ujue normal time ni ngapi kabla ya kuanza kujilaumu.
Tamani kuwa yeye kwenye mafanikio ya pesa tu, huku kwingine ni sifa tu za kijinga na usikute kuna vitu anatumia kuji bust
Upuuzi upo wapi hapo mkuu?? FafanuaHivi mtu unapata mda kabisa unachezea keyboard 🎹 kwa kuandika upuuzi kama huu aisee...
Kwani mbaya?Tuombeane mkuu nisirudi!
Hahaha hayariDah umenikumbusha mbali Sana enzi Niko Chuo Udom nimeenda kuoga kwenye Yale mabafu ya COED nasikia mtu ana toa miguno nikapanda juu kupiga chabo! Aisee nilimkuta Inseevice mmoja anapiga puli nikacheka! Aisee alitoka mle bafuni alinikunja na ubaya alikuwa na umbo kubwa sitaki kukumbuka hii siku.
We ulitoka baada ya dakika ngapi?Tulienda wote kununua hapo chako ni chako enzi tuko Chuo Nakumbuka walikuwa wanauza elf 7000 yy alilipia elf 14. Mm nilienda nikapga nikatoka nje nikakaa karbia dk 7 bado hatoki tu! Guest ilikuwa inaitwa Mtanzania Guest sijui bado IPO?😂😂😂
Mbaya mkuu! Wanawake watatuacha kama hatuwezi peleka moto mda mrefuKwani mbaya?
Kwamba unapiga Nyeto kwa sabab ya hizo Reasons ulizotoa hapoKwani mbaya?
Kwamba unapiga Nyeto kwa sabab ya hizo Reasons ulizotoa hapoKwani mbaya?
Nadhan dk 1.5We ulitoka baada ya dakika ngapi?