Stratroni kimario
Member
- Oct 10, 2023
- 26
- 43
Yes kwetu yameshatokaKwani matokeo yameshatoka?
Matokeo ya kwenu yametoka lini?Yes kwetu yameshatoka
Umemaliza Mwaka huu na matokeo yametoka kwenu tu?Habarini, nina swali nimemaliza clinical medicine mwaka huu nina GPA ya Tano. Nataka kujiendeleza MD bahati mbaya nafasi za MD Serikalini kumejaa na private siwezi kumudu ada, nauliza mwakani nikiapply naweza kupata chuo kama MUHAS na kuhusu mkopo kuna uwezekano wa kupata?
O level nina dv 2 ya 21 phy D, chem C , bios C na maths D .
Yes chuoni kwetu matokeo yametoka juzUmemaliza Mwaka huu na matokeo yametoka kwenu tu?
Jana 09/10Matokeo ya kwenu yametoka lini?
YeahUmesema MUHAS??
Yametoka janaMatokeo ya kwenu yametoka lini?
Kama uko na diploma ya clinical med nashauri usipambane kuomba vyuo vyenye ushindani mkubwa kama MUHAS, Utakwama. Omba vyuo kama uDom, Udism etcYeah
Shukrani Kwa ushaur wako🙏Kama uko na diploma ya clinical med nashauri usipambane kuomba vyuo vyenye ushindani mkubwa kama MUHAS, Utakwama. Omba vyuo kama uDom, Udism etc
Kanda gani chuo ulicho kuwa ukisoma?Jana 09/10
Nina mashaka na chuo chako! Umepata GPA ya tano?Habarini, nina swali nimemaliza clinical medicine mwaka huu nina GPA ya Tano. Nataka kujiendeleza MD bahati mbaya nafasi za MD Serikalini kumejaa na private siwezi kumudu ada, nauliza mwakani nikiapply naweza kupata chuo kama MUHAS na kuhusu mkopo kuna uwezekano wa kupata?
O level nina dv 2 ya 21 phy D, chem C , bios C na maths D .
Mkuu GPA za nacte hizo wanahesabu mwaka wa mwisho tu yani NTA LEVEL 6, kwahiyo matokeo ya mwaka wa kwanza na pili hayana nafasi kwenye kutafuta GPA hivyo ukipata "A" flat mwaka wa mwisho ndio inakua GPA ya 5. ila pia katika mfumo wa ajabu basi ni huu wa nacte yani awajumlishi matokeo ndo maana GPA nying za nacte ni fake tu.Nina mashaka na chuo chako! Umepata GPA ya tano?
Hivi hii ni kwelii?Mkuu GPA za nacte hizo wanahesabu mwaka wa mwisho tu yani NTA LEVEL 6, kwahiyo matokeo ya mwaka wa kwanza na pili hayana nafasi kwenye kutafuta GPA hivyo ukipata "A" flat mwaka wa mwisho ndio inakua GPA ya 5. ila pia katika mfumo wa ajabu basi ni huu wa nacte yani awajumlishi matokeo ndo maana GPA nying za nacte ni fake tu.
Ni kweli mkuu NACTEVET wanamfumo mbovu sana linapokuja swala la kucalculate GPA hizo 5 nyingi ni fake tatizo wanashindwa kubadli mfumo wa GPA ilibidi waweke mfumo wa OVERALL GPA sio hiyo ya kuangalia mwaka wa mwisho tu. hivyo hizo gpa za 5 nyingi hazina uhalisia mkuu.Hivi hii ni kwelii?
Maana nilishangaa mshikaji mmoja karibia kila CAT anapiga zake GPA ya 2.0 havuki hapo wala hashuki hapo.
Cha kushangaza paper la mwisho mwaka wa tatu kakunja GPA ya 4.7
Dsm lugaloKanda gani chuo ulicho kuwa ukisoma?
Maana siku hizi nasikia wanatoa matokea kikanda.
Lugalo military medical school ndgNina mashaka na chuo chako! Umepata GPA ya tano?