Stratroni kimario
Member
- Oct 10, 2023
- 26
- 43
- Thread starter
- #21
Nilihaso Sana kupata A flat tena lugalo military medical schoolNi kweli mkuu NACTEVET wanamfumo mbovu sana linapokuja swala la kucalculate GPA hizo 5 nyingi ni fake tatizo wanashindwa kubadli mfumo wa GPA ilibidi waweke mfumo wa OVERALL GPA sio hiyo ya kuangalia mwaka wa mwisho tu. hivyo hizo gpa za 5 nyingi hazina uhalisia mkuu.