Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
AiseeAnapoteza pesa wakati ana uwezekano wa kuomba vichache na akapatq....mfano kcmc peke ake kuomba ni elf 50
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeAnapoteza pesa wakati ana uwezekano wa kuomba vichache na akapatq....mfano kcmc peke ake kuomba ni elf 50
CHAIWewe omba ndugu yangu hapo MUHAS unapata na mkopo juu, Usisikilize sana hao watu wanaokuogopesha kuwa Muhas ni pagumu hakuna ugumu wowote ule mimi kuna jamaa yangu tumemaliza nae O level alipata Div Four ya 26 kipindi cha Kikwete ile wanafunzi walivyofeli sana hadi wakafanya kutoa matokeo mara ya pili bado akabaki na iyo Four ya 26 akaenda zake Certificate akapiga na Diploma akaomba hapo MUHAS akapata na mkopo walimpa alivyofika hapo akawa ndio class leader kwenye masuala ya taaluma mwisho ameacha historia hapo MUHAS alitoka na Gpa kali hadi wakampa offer abaki hapo Muhimbili hospital ila alipata fursa fulani yupo Botswana huko saivi Hospitali nyeti ya vigogo wa serikali anakula maisha tu safari za nje ni kugusa anakuwa hadi kwenye safari ya mkubwa wa nchi na kwa mwezi ananiambia anakunja Si chini ya 25M
umeona mkeka wa 2024 march mkuu ukaona Makerere ipo ngapiUpo dunia gani?? Kwenye vyuo vya afya muhas inaongoza afrika mashariki
au tukuwekee hapaumeona mkeka wa 2024 march mkuu ukaona Makerere ipo ngapi
Kama uko na diploma ya clinical med nashauri usipambane kuomba vyuo vyenye ushindani mkubwa kama MUHAS, Utakwama. Omba vyuo kama uDom, Udism etc
Upo dunia gan wewey
au tukuwekee hapa