feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Ila mwana chuo chenu kipo special sana Tanzania nzima ninyi ndo matokeo mshabandikiwa.Habarini, nina swali nimemaliza clinical medicine mwaka huu nina GPA ya Tano. Nataka kujiendeleza MD bahati mbaya nafasi za MD Serikalini kumejaa na private siwezi kumudu ada, nauliza mwakani nikiapply naweza kupata chuo kama MUHAS na kuhusu mkopo kuna uwezekano wa kupata?
O level nina dv 2 ya 21 phy D, chem C , bios C na maths D .
NB:Mpaka sasa hakuna chuo chochote kilichotoa matokeo kwani za chini ya kapeti matokeo yana utata kwa udanganyifu uliojitokeza hasa kwa kozi ya Pharmacy. Hivyo kuna uwezekano yakafutwa.