Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

Anapoteza pesa wakati ana uwezekano wa kuomba vichache na akapatq....mfano kcmc peke ake kuomba ni elf 50
Kuomba vyuo vyote Tanzania vya MD gharama inaweza kuzidi laki moja?
Then jitu hilo hilo linalosema gharama kubwa ya kuomba vyuo linashindia pombe kila siku na kucheza kamari
Seriously!
 
Vya serikali vyote ni 1.8 M, other direct cost ni around elf 70
Nilikuwa namaanisha upotevu wa pesa kama ada ni milioni 1.8M mwaka na mambo mengine akijumlisha anajikuta kaunguza zaidi ya 3M, na kwa wale wenye ada ya 5M na gharama nyingine kwa mwaka wanaweza kujikuta wameunguza zaidi ya 8M, hiyo nilikuwa namaanisha.

Kama mtu ana mipango yake asome tu, lakini wale wenzangu na mimi wa kutafuta ajira bora hiyo pesa afanye mambo mengine tu.
 
kwel vyuo vya kichochoroni.Gpa ya 5 darasa karibia lote mhhh.ndo maana vyuo kama udsm na Muhas vinawakataa
Kichochoroni chuo Cha Roma hicho ndugu yangu pale ndo wanalisha hospital nyingi Tanzania kwa kuwa na watumishi boraa
 
Kuomba vyuo vyote Tanzania vya MD gharama inaweza kuzidi laki moja?
Then jitu hilo hilo linalosema gharama kubwa ya kuomba vyuo linashindia pombe kila siku na kucheza kamari
Seriously!
Wewe chuo gan cha udaktari umewah omba?? Hapo hiyo laki unawezs lipa vyuo vitatu tuu ikaisha...
 
Acheni kupotosha jmn....kama mtu ana gpa ya 5, probability ya kupata muhas ni kubwa kuliko vyuo vyote tz, sababu kutokea diploma, muhas wanachukua watu 20,udom watu 10 na udsm(mbeya) watu 08...mimi npo muhas mwaka wa pili huu na nmetokea diploma nikiwa na same gpa, na niliomba vyuo vingi tuu na vyote nilipata, udsm nlipata, kcmc,st Joseph ,muhas
Una hakika elimu ya hapa na pale ya diploma itamfanya mwanafunzi huyohuyo afaulu vizuri MD ya MUHAS?
Au safari ya elimu mnaona inaishia hapo.

Mwanafunzi mwenyewe ni mwenye Div. II na makarai kibao ya sayansi na D ya Mathematics.

MUHAS wanatoa nafasi 20 za MD na UDOM wanatoa ngapi.
 
Na kuna mshkaj alipata gpa ya 4.6 lugalo hapa form four dv 3 na alipata muhas now anatarajia kuingia second year, na Mambo yanaenda vizur na mkopo alipata , ni mipango ya Mungu tu
Wewe unawaza maisha ya kusoma, mimi nawaza maisha ya kufaulu kwako na kujiendeleza kielimu baadae. Kupanga ni kuchagua
 
Una hakika elimu ya hapa na pale ya diploma itamfanya mwanafunzi huyohuyo afaulu vizuri MD ya MUHAS?
Au safari ya elimu mnaona inaishia hapo.

Mwanafunzi mwenyewe ni mwenye Div. II na makarai kibao ya sayansi na D ya Mathematics.

MUHAS wanatoa nafasi 20 za MD na UDOM wanatoa ngapi.
Kaka wewe umesoma hiyo MD? Umesoma C.O?? Maana naweza kubishana na mtu ambaye haelewi chochote kuhusu hizo kozi

Udom wanachukua watu 10
 
Back
Top Bottom