Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

Nilihaso Sana kupata A flat tena lugalo military medical school
 
NACTEVET hawahusiki saana kwenye matokeo maana wao hupelekewa tu
 
Acha watu wafaulu kuna vyuo vingine vinakaza kishenzi wanatembeza makalai tu, afu baadae mnasema tuna upungufu wa maprofesa.
Shida italeta ugumu kupata vyuo vya umma hasa kwa afya kutakua na ushindani mkubwa maana hizo GPA za 5 zipo za kutosha mkuu
 
Vip uwezekano wa kupata muhas?
Huwezekano upo mkuu muhimu apply mapema mwakani usije ukakosa maana wenye hizo 5 mpo wengi sana. pia vyuo sio MUHAS tu, kuna UDOM,UDSM jaribu na huko kuna MD utapata
 
Acha watu wafaulu kuna vyuo vingine vinakaza kishenzi wanatembeza makalai tu, afu baadae mnasema tuna upungufu wa maprofv

Huwezekano upo mkuu muhimu apply mapema mwakani usije ukakosa maana wenye hizo 5 mpo wengi sana. pia vyuo sio MUHAS tu, kuna UDOM,UDSM jaribu na huko kuna MD utapata
Shukran chief
 
Shida italeta ugumu kupata vyuo vya umma hasa kwa afya kutakua na ushindani mkubwa maana hizo GPA za 5 zipo za kutosha mkuu
Apo sasa ndio inategemea na chuo sasa unakuta mtu yupo vizuri kapata 3.4 ila mwingine hayupo vizuri kapata GPA ya 5.

Maisha hayajawahi kuwa fair
 
Ni kweli mkuu kwa maana hiyo sidhani kama waliopata chini ya hiyo GPA watapata vyuo hasa vya umma sijajua kwa private hali ipoje mkuu.
 
Ni huruma tu ya Mungu tu mwenyezi, hivi mfano muhimbili wanachukua 5 waliotoka diploma, hapo hata kama una GPA ya tano bado unaweza kosa.
 
Kwa kweli mkuu hizo 5 zimejaa mkuu labda kwa kozi zenye ushindani mdogo ila kwa MD, Pharmacy au nursing ni ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…