Mjomba side
Member
- May 3, 2024
- 72
- 96
CHADEMA,ACT-WAZALENDO,CUF,NCCR-MAGEUZI ni vyama vya siasa vilivyo kosa sera halisi kwa watanzania ndio maana wameshindwa kunadi sera zao kwa watanzania kupitia vyombo vya habari kwa kujificha kwenye HOJA ya kutokuhudhuria kwa katibu mkuu wa ccm kwenye mdahalo*
_Tumeona nchi Kama Marekani viongozi wa vya vya siasa wanatumia midahalo Kama hiyo kunadi sera za vyama vyao kwa wananchi ili kujiimarisha kisiasa na si VINGINEVYO
_👉Hao makatibu wakuu walio hudhuria walishindwa nini kunadi sera zao kwani kama wa CCM angewasaidia kunadi sera za vyama vyao?
HOJA ZA MDAHALO
{1}Kuelekea uchaguzi mkuu 2025-hii hoja IPO sahihi kujadiliwa na vyama vya siasa
{2} Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa-hii hoja pia ni sahihi kujadiliwa na vyama vya siasa
{3}HALI YA USALAMA WA TAIFA LETU -hoja hii siyo sawa kujadiliwa na vyama vya siasa pekee kwani hapa nchini kuna vyombo vya ulinzi na usalama ndio vingepewa hoja hii kulifafanulia taifa hali ya usalama kwenye taifa letu hapo Ingekuwa sawa kabisa kwani watanzania wangepata full package kuhusu usalama wao
ODEMBA -Angejiridhisha kwanza sababu zilizofanya katibu mkuu wa CCM kutokuhudhuria mdahalo huo,,,kwani MNAONA kabisa CCM inaendelea na vikao huko Dar,,,Kama 31/08/2024 kikao Cha sekretarieti ambapo kama CCM ni mhusika mkuu kwenye hicho kikao.
Soma Pia: Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
NIWAMBIE TU HAKUNA MDAHALO AMBAO CCM YAWEZA UOGOPA HAPA NCHINI AU NJE YA NCHI