Pre GE2025 Kujificha nyuma ya hoja ya kutokuhudhuria kwa Katibu Mkuu wa CCM: Upinzani wamekosa Sera madhubuti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mjomba side

Member
Joined
May 3, 2024
Posts
72
Reaction score
96
CHADEMA,ACT-WAZALENDO,CUF,NCCR-MAGEUZI ni vyama vya siasa vilivyo kosa sera halisi kwa watanzania ndio maana wameshindwa kunadi sera zao kwa watanzania kupitia vyombo vya habari kwa kujificha kwenye HOJA ya kutokuhudhuria kwa katibu mkuu wa ccm kwenye mdahalo*

_Tumeona nchi Kama Marekani viongozi wa vya vya siasa wanatumia midahalo Kama hiyo kunadi sera za vyama vyao kwa wananchi ili kujiimarisha kisiasa na si VINGINEVYO

_👉Hao makatibu wakuu walio hudhuria walishindwa nini kunadi sera zao kwani kama wa CCM angewasaidia kunadi sera za vyama vyao?

HOJA ZA MDAHALO

{1}Kuelekea uchaguzi mkuu 2025-hii hoja IPO sahihi kujadiliwa na vyama vya siasa

{2} Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa-hii hoja pia ni sahihi kujadiliwa na vyama vya siasa

{3}HALI YA USALAMA WA TAIFA LETU -hoja hii siyo sawa kujadiliwa na vyama vya siasa pekee kwani hapa nchini kuna vyombo vya ulinzi na usalama ndio vingepewa hoja hii kulifafanulia taifa hali ya usalama kwenye taifa letu hapo Ingekuwa sawa kabisa kwani watanzania wangepata full package kuhusu usalama wao

ODEMBA -Angejiridhisha kwanza sababu zilizofanya katibu mkuu wa CCM kutokuhudhuria mdahalo huo,,,kwani MNAONA kabisa CCM inaendelea na vikao huko Dar,,,Kama 31/08/2024 kikao Cha sekretarieti ambapo kama CCM ni mhusika mkuu kwenye hicho kikao.

Soma Pia: Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

NIWAMBIE TU HAKUNA MDAHALO AMBAO CCM YAWEZA UOGOPA HAPA NCHINI AU NJE YA NCHI
 
sawa ndugu Emanuel.
ila kwanini ulikubali kuwepo kwenye mdahalo alafu ukakacha bila taarifa yoyote?
 
Mwambieni Odemba atuletee mdahalo wa wasemaji wa klabu, waje kina Manara, Ali Kamwe, Semaji la Vitalo na Ahmed Ali huo ndio utafana....anaweza kuijaza taifa
 
CHADEMA,ACT-WAZALENDO,CUF,NCCR-MAGEUZI ni vyama vya siasa vilivyo kosa sera halisi kwa watanzania ndio maana wameshindwa kunadi sera zao kwa watanzania kupitia vyombo vya habari kwa kujificha kwenye HOJA ya kutokuhudhuria kwa katibu mkuu wa ccm kwenye mdahalo*

_Tumeona nchi Kama marekani viongozi wa vya vya siasa wanatumia midahalo Kama hiyo kunadi sera za vyama vyao kwa wananchi ili kujiimarisha kisiasa na si VINGINEVYO

_👉Hao makatibu wakuu walio hudhuria walishindwa nini kunadi sera zao kwani km wa CCM angewasaidia kunadi sera za vyama vyao?

HOJA ZA MDAHALO

{1}Kuelekea uchaguzi mkuu 2025-hii hoja IPO sahihi kujadiliwa na vyama vya siasa

{2} Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa-hii hoja pia ni sahihi kujadiliwa na vyama vya siasa

{3}HALI YA USALAMA WA TAIFA LETU -hoja hii siyo sawa kujadiliwa na vyama vya siasa pekee kwani hapa nchini kuna vyombo vya ulinzi na usalama ndio vingepewa hoja hii kulifafanulia taifa hali ya usalama kwenye taifa letu hapo Ingekuwa sawa kabisa kwani watanzania wangepata full package kuhusu usalama wao

ODEMBA -Angejiridhisha kwanza sababu zilizofanya katibu mkuu wa ccm kutokuhudhuria mdahalo huo,,,kwani MNAONA kabisa CCM inaendelea na vikao huko dar,,,Kama 31/08/2024 kikao Cha sekretarieti ambapo km CCM ni mhusika mkuu kwenye hicho kikao

NIWAMBIE TU HAKUNA MDAHALO AMBAO CCM YAWEZA UOGOPA HAPA NCHINI AU NJE YA NCHI
Tanzania bila ya vyama vya Siasa inawezekana, Kwanza maisha ndio yatakuwa mazuri zaidi.
 
"New member" umeishia darasa la ngapi wewe
Nipo kitambo sana JF SEMA nimebadili ID, nimeanza kutumia JF kuanzia 2008, sijui ulikuwa wapi kipindi hicho, waliokuwepo humu ninaowakumbuka ni miss Chaga, mshana junior na wengine wengi.any way usinitoe kwenye njia JF haionyeshi elimu ya mtu, labda ukiamua kujionyesha, pia kwa uwezo wako huwezi ifikia elimu yangu na tulipo CCM.

Jiulize CDM ina ma prof wangapi ulinganishe na CCM, wenye PhD, masters na hata bachelor.

Tuanze kufananisha elimu ya mnyika na nchimbi nadhani utanielewa.
 
"Watanzania tulio wengi ni wajinga Sana kichwani" mwisho wa kunukuu
Karibu kufuatilia idadi ya wajinga waliopo vyama vya upinzani na CCM.

Sijajua upande wako wajinga unawatafsiri vipi? Ila angalia viwango vya elimu, maendeleo ya mtu( lissu alikuwa anatembeza bakuli anunuliwe gari, ulishawahi kuona hiyo CCM) Uwasilishaji hoja kwa busara.waganga njaa wengi wapo upinzani, wengi wao walishafeli katika maisha wameamua liwalo na liw ngoja niende upinzani.
 
Hatuwezi kukikmbia vyama viivyoungwa mkono na hata robo ya robo ya raia tanzania
Ingekuwa ni kweli ili basi mizania ya uchaguzi ingekuwa sawa. Shindeni mizani ikiwa sawa sio kwa figisu halafu mjisifie kukubalika!
 
Toka hapa hao member hawakuwepo 2008
Enzi hizo JF haikuwa kama hii unayoiona Leo iliyoboreshwa. Nakumbukuka kulikuwa na jukwaa linaitwa jokes/ utani ulikuwa ukiingia utacheka sana. Nikupe ID niliyokuwa nikiitumia?
Nakumbuka kipindi hicho hata wenye visimu vidogo walikuwa wanaweza kuingia JF.
Ulikuwa ukiingia JF kitakachotangazwa kesho na presid Leo utakipata JF.

nakumbuka chaguzi za 2010 na 2015 kupitia CCM tulikuwa tunapata taarifa kabla taarifa hajaenda on air.

Kama utakuwa ulishajiunga JF wanaJF miaka hiyo tulikuwa tunakutana na tunaenda baadhi ya maeneo kutoa misaada mfano tulienda hospital ya mwananyamala kutoa msaada.

Tulikuwa tunakutana na muda mwingine kutupia picha katika jukwa la picha. Sijui kama ulikuwa umeshajiunga. Kiufupi umri wangu umeenda ila mengi nilikuwa najifunza kupitia JF.
ilikuwa ukiwa unachangamoto yoyote tulikuwa tunatumia JF Kama sehemu ya kupata msaada. Nakumbuka Kuna mtu na mkewe pamoja na watoto nilishawahi kuwasaidia sijajua kama wapo hai ila ni vibaya kuzungumzia msaada niliowapatia, umenikumbusha mbali sana.walikuwa na changamoto ya kutosikia kuanzia baba na mama mpaka watoto na ulemavu wa viungo, enzi hizo walienda kwa mkuu wa wilaya mmoja hapa dsm, ila walivyopost humu niliguswa nao nikawasaidia.
Mabadiliko ni makubwa sana nakumbuka sana nilikuwa namfuatilia member mmoja alikuwa akiitwa Mzee mwanakijiji alikuwa hatari sana kwenye simulizi.

Hongereni JF kwa kutuwekea kumbukumbuku
 
CHADEMA,ACT-WAZALENDO,CUF,NCCR-MAGEUZI ni vyama vya siasa vilivyo kosa sera halisi kwa watanzania ndio maana wameshindwa kunadi sera zao kwa watanzania kupitia vyombo vya habari kwa kujificha kwenye HOJA ya kutokuhudhuria kwa katibu mkuu wa ccm kwenye mdahalo*

_Tumeona nchi Kama Marekani viongozi wa vya vya siasa wanatumia midahalo Kama hiyo kunadi sera za vyama vyao kwa wananchi ili kujiimarisha kisiasa na si VINGINEVYO

_👉Hao makatibu wakuu walio hudhuria walishindwa nini kunadi sera zao kwani kama wa CCM angewasaidia kunadi sera za vyama vyao?

HOJA ZA MDAHALO

{1}Kuelekea uchaguzi mkuu 2025-hii hoja IPO sahihi kujadiliwa na vyama vya siasa

{2} Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa-hii hoja pia ni sahihi kujadiliwa na vyama vya siasa

{3}HALI YA USALAMA WA TAIFA LETU -hoja hii siyo sawa kujadiliwa na vyama vya siasa pekee kwani hapa nchini kuna vyombo vya ulinzi na usalama ndio vingepewa hoja hii kulifafanulia taifa hali ya usalama kwenye taifa letu hapo Ingekuwa sawa kabisa kwani watanzania wangepata full package kuhusu usalama wao

ODEMBA -Angejiridhisha kwanza sababu zilizofanya katibu mkuu wa CCM kutokuhudhuria mdahalo huo,,,kwani MNAONA kabisa CCM inaendelea na vikao huko Dar,,,Kama 31/08/2024 kikao Cha sekretarieti ambapo kama CCM ni mhusika mkuu kwenye hicho kikao.

Soma Pia: Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

NIWAMBIE TU HAKUNA MDAHALO AMBAO CCM YAWEZA UOGOPA HAPA NCHINI AU NJE YA NCHI
Ccm imejaa mapoyoyo Hadi midahalo yanaikimbia Tena iliyoandaliwa na chanel Yao ya ccm
 
Hatuwezi kufanya mdahalo na wasiokuwa na elimu.
PhD (nchimbi) haiwezi Fanya mdahalo na form six leaver( mnyika)
 
CHADEMA,ACT-WAZALENDO,CUF,NCCR-MAGEUZI ni vyama vya siasa vilivyo kosa sera halisi kwa watanzania ndio maana wameshindwa kunadi sera zao kwa watanzania kupitia vyombo vya habari kwa kujificha kwenye HOJA ya kutokuhudhuria kwa katibu mkuu wa ccm kwenye mdahalo*

_Tumeona nchi Kama Marekani viongozi wa vya vya siasa wanatumia midahalo Kama hiyo kunadi sera za vyama vyao kwa wananchi ili kujiimarisha kisiasa na si VINGINEVYO

_👉Hao makatibu wakuu walio hudhuria walishindwa nini kunadi sera zao kwani kama wa CCM angewasaidia kunadi sera za vyama vyao?

HOJA ZA MDAHALO

{1}Kuelekea uchaguzi mkuu 2025-hii hoja IPO sahihi kujadiliwa na vyama vya siasa

{2} Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa-hii hoja pia ni sahihi kujadiliwa na vyama vya siasa

{3}HALI YA USALAMA WA TAIFA LETU -hoja hii siyo sawa kujadiliwa na vyama vya siasa pekee kwani hapa nchini kuna vyombo vya ulinzi na usalama ndio vingepewa hoja hii kulifafanulia taifa hali ya usalama kwenye taifa letu hapo Ingekuwa sawa kabisa kwani watanzania wangepata full package kuhusu usalama wao

ODEMBA -Angejiridhisha kwanza sababu zilizofanya katibu mkuu wa CCM kutokuhudhuria mdahalo huo,,,kwani MNAONA kabisa CCM inaendelea na vikao huko Dar,,,Kama 31/08/2024 kikao Cha sekretarieti ambapo kama CCM ni mhusika mkuu kwenye hicho kikao.

Soma Pia: Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

NIWAMBIE TU HAKUNA MDAHALO AMBAO CCM YAWEZA UOGOPA HAPA NCHINI AU NJE YA NCHI
Kuliko kuja kulialia hapa, ungefanya Jambo jepesi kwa keenda kumchukua Nchimbi na kumpeleka kwenye huo mdaharo
 
Ndugu yangu utaweza mshindanisha bakhresa na muuza genge wa mtaani kwako.

Level zinatofautiana. Uwezo wa makatibu kutoka upinzani ni sawa sawa na uwezo wa mjumbe wa nyumba kumi/ hamsini tu. Siku mkihitaji Tena tutawaletea mjumbe wa nyumba Kumi/ hamsini aje muwashindanishe na hao makatibu wenu vilaza.

Mjumbe wa nyumba Kumi/ hamsini wa CCM anaakili kuliko katibu mkuu wa CDM.

Huyo mjumbe unaemuona mtaani kwako ndie aliesababisha:
1. Maji
2. Umeme na huduma zingine zikufikie. Hao CDM wamekusaidia Nini mpaka Leo hii?
 
Hiki ulichoandika hapa ni alinacha za Bulicheka.
 
Back
Top Bottom