Kujifukiza ni kinga au ni tiba?

Kujifukiza ni kinga au ni tiba?

Wataalam wapo mahospitalini wakitibu watu. Mvuke unaua virusi, joto kali linaua virusi. Kuna viwango vya joto vikifikiwa hakuna virus mwenye kuweza kuendelea kuwa hai.
Hebu kuwa serious na hiyo elimu yako ya kumeza, umeshindwa hata kujua virus wana sifa ya living and non living?

Wewe na mzee wako wa Chato endeleeni kudanganyana eti virus wote wanakufa above boiling point
 
Wabongo sisi bana sijuwi huwa tunataka tuambiwe nini.Ila mi nilichojifunza ni kwamba swala la kujifukiza wangesema wazungu tu. Basi kila mtu asingechalenge kama hivi ila kwakuwa aliyesema ni mswahili mwenzetu imekuwa kama mzaha. Sasa subiri watu yawapate watautafuta mvuke wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dont be fooled!

False claim: Steam therapy kills coronavirus

Users have been sharing content online that claims steam therapy kills the coronavirus. Examples can be found here and here

Some variations of this claim add other ingredients to the boiling water or steam, such as orange or lemon ( here ) and peppermint oil ( here ). Another post explains: "This technique will kill the Rona in your nasal passage and throat. Add essential oils or slices of the following for added benefits. Garlic, ginger, cayenne, tea tree, eucalyptus, or neem. There are many others you can add. Do a google search for "antiviral herbs foods" to see if anything you already have in your kitchen will work." ( here )

These claims advise people to boil water, sometimes with other ingredients, then place their face over the steam and inhale in order to kill or eliminate the coronavirus. Some posts advise the user to do this for 15 minutes or however long they can stand.

One post claims: "Steam heat treatment for respiratory viruses. A natural remedy that kills Coronavirus, Influenza, Rhinovirus." ( here )

Neither the U.S. Centers for Disease Control and Prevention (CDC) nor the World Health Organization (WHO) suggest steam therapy with any ingredient as a cure for the coronavirus. A representative from the CDC told Reuters that he was not aware of any scientific studies that show steam therapy helps with the coronavirus.

Steam therapy can help thin mucus as a supplemental course of action to give some relief when grappling a cold or flu ( here ) but overall, scientific studies showing evidence of its usefulness are lacking ( here ).

Additionally, the practice brings risks.

A study published by the Spanish Pediatrics Association notes: "It is apparent that regardless of how SIT [Steam Inhalation Therapy] is applied it carries a risk of burn injury. The usual technique of covering the head with a towel over a pan filled with hot water is dangerous due to the steam, the hot liquid, or even potential contact with the container. " ( here )

The American Burn Association explains, "Hot water will burn skin at temperatures much lower than boiling point (212°F/100°C). In fact, it only takes 3 seconds of exposure to 140°F/60°C water to cause a burn serious enough to require surgery!" ( here )

These posts claim that inhalation of steam from boiling water, sometimes with various infused ingredients, will kill the coronavirus. This is false. While it may help ease symptoms like congestion, steam inhalation also carries the risks of burns.

VERDICT
False: Steam therapy will not kill the coronavirus
This article was produced by the Reuters Fact Check team. Read more about our fact checking work here .
 
Sijapata bado Scientific Proof kuwa Kujifukizia kunasaidia Kutibu au Kuimarisha Afya ila naona mwendelezo wa Upumbavu tu.
 
Wabongo sisi bana sijuwi huwa tunataka tuambiwe nini.Ila mi nilichojifunza ni kwamba swala la kujifukiza wangesema wazungu tu.Basi kila mtu asingechalenge kama hivi ila kwakuwa aliyesema ni mswahili mwenzetu imekuwa kama mzaha.Sasa subiri watu yawapate watautafuta mvuke wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mvuke wenye centrigrade 100? Jaribu uone Kama baada ya kutoka kwenye blanket hukimbizwi Mloganzila
 
Sijapata bado Scientific Proof kuwa Kujifukizia kunasaidia Kutibu au Kuimarisha Afya ila naona mwendelezo wa Upumbavu tu.
Tulianza kwa Maombi ya siku tatu, sasa naona tunamchanganya Mungu na miti shamba sasa sijui hii Nini? Askofu Gwajima inabidi atusaidie
 
Kwani Nani katoa ushauri huu ? Na ameishia darasa langapi ?

Mkuu kwa hali hii hata darasa la saba ana uhuru wa kutoa mawazo, ustake kujua ni nani wewe fukiza tu maana hatujui kesho zetu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tulianza kwa Maombi ya siku tatu,sasa naona tunamchanganya Mungu na miti shamba sasa sijui hii Nini? Askofu Gwajima inabidi atusaidie

Kwa wazee wa zamani walikuwa na mdawa haya ya hospital?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mvuke ni dawa kweli, mimi ni shuhuda mnamo mwaka 2003, baada ya kwenda kwa bibi yangu niliumwa marelia kali sana, na maeneo niliyo kuwe kukawa akuna dawa, nilifukizwa na majani ya mchaichai, mgomba, mpera, mvumbashi & majani ya mchungwa au malimao, nilipona na tokea hapo sijawai umwa maralia kali kama ile.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa wazee wa zamani walikuwa na mdawa haya ya hospital?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hawakuwa nayo lakini pia sijui Kama magonjwa Kama Corona na UKIMWI and the like yalikuwepo those days? Lakini pia mabadiliko ya tabia ya nchi yamebadili vitu vingi
 
Mvuke ni dawa kweli,mimi ni shuhuda mnamo mwaka 2003,baada ya kwenda kwa bibi yangu niliumwa marelia kali sana,na maeneo niliyo kuwe kukawa akuna dawa,nilifukizwa na majani ya mchaichai,mgomba,mpera,mvumbashi & majani ya mchungwa au malimao,nilipona na tokea hapo sijawai umwa maralia kali kama ile.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ila malaria haisababishwi na virus. Hata hivyo Asante sana
 
Sijijui,
Kuna video moja ya TV moja India mtangazaji anahojiana na Professor ambaye ni Daktari wa magonjwa ya binadamu ni bingwa wa tafiti mbalimbali. Kifupi ametoa mawazo yake nikalinganisha na kauli za Mh Rais nikaona kuna mantiki.

Yeye anasema virus wakishangilia mwilini kuna dalili kama uchovu kuishiwa nguvu utajisikia, kisha mwili uta detect kwamba kuna stranger hivyo utafanya attack kwa kupandisha joto la mwili l.

Anasema ukishajisikia joto la mwili liko juu unachotakiwa kufanya CHEMSHA MAJI WEKA KWENYE CHUPA YA CHAI HALAFU KILA BAADA YA MUDA FULANI KUNYWA YALE MAJI YAKIWA YA MOTO HADI UHAKIKISHE UNATOA JASHO LA KUTOSHA FANYA HIVYO MARA KWA MARA KWA SIKU MBILI MFULULIZO. Anasema kufanya hivyo linapandisha joto la mwili hivyo kuvunja vunja virus mwilini mwako kwani joto la mwili likipanda kwa degree celsius 1°c ni joto tosha kuharibu virus.

Linganisha mantiki ya Mh Rais na huyu Mtabibu toka India.
 
Mkuu kwa hali hii hata darasa la saba ana uhuru wa kutoa mawazo,ustake kujua ni nani we fukiza tu maana atujui kesho zetu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Je anachosema huyu dr ndio kufukiza mwenyewe?
 
Kuna video moja ya TV moja India mtangazaji anahojiana na Professor ambaye ni Daktari wa magonjwa ya binadamu ni bingwa wa tafiti mbalimbali. Kifupi ametoa mawazo yake nikalinganisha na kauli za Mh Rais nikaona kuna mantiki.
Yeye anasema virus wakishangilia mwilini kuna dalili kama uchovu kuishiwa nguvu utajisikia, kisha mwili uta detect kwamba kuna stranger hivyo utafanya attack kwa kupandisha joto la mwili l. Anasema ukishajisikia joto la mwili liko juu unachotakiwa kufanya CHEMSHA MAJI WEKA KWENYE CHUPA YA CHAI HALAFU KILA BAADA YA MUDA FULANI KUNYWA YALE MAJI YAKIWA YA MOTO HADI UHAKIKISHE UNATOA JASHO LA KUTOSHA FANYA HIVYO MARA KWA MARA KWA SIKU MBILI MFULULIZO. Anasema kufanya hivyo linapandisha joto la mwili hivyo kuvunja vunja virus mwilini mwako kwani joto la mwili likipanda kwa degree celsius 1°c ni joto tosha kuharibu virus.
Linganisha mantiki ya Mh Rais na huyu Mtabibu toka India.
Hii hapa
 
Bubu Msemaovyo,
Mkuu anasema joto halivunji vunji virus, but kupandisha joto la mwili kwa kunywa maji ya Moto continuasly kutusaidia kuzuia kuzaliana kwa vizuri while mwili ukitengeneza imunity za kukabiliana nacho na Kisha kukiua
 
Mkuu anasema joto halivunji vunji virus,but kipandisha joto la mwili kwa kunywa maji ya Moto continuasly kutasaidia kuzuia kizaliana kwa vizuri while mwili ukitengeneza imunity za kukabiliana nacho na Kisha kukiua
Kumbuka virusi siyo viumbe hai kwa hiyo haviwezi kuzaliana na haviwezi kufa. Virus ni mafuta au niseme protein .
 
Back
Top Bottom