Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataalam wapo mahospitalini wakitibu watu. Mvuke unaua virusi, joto kali linaua virusi. Kuna viwango vya joto vikifikiwa hakuna virus mwenye kuweza kuendelea kuwa hai.
Wabongo sisi bana sijuwi huwa tunataka tuambiwe nini.Ila mi nilichojifunza ni kwamba swala la kujifukiza wangesema wazungu tu.Basi kila mtu asingechalenge kama hivi ila kwakuwa aliyesema ni mswahili mwenzetu imekuwa kama mzaha.Sasa subiri watu yawapate watautafuta mvuke wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajabu mbona kuna watu wanapoa vifua sugu kwa kufukizwa dawa za kienyejiWabongo sisi bana sijuwi huwa tunataka tuambiwe nini.Ila mi nilichojifunza ni kwamba swala la kujifukiza wangesema wazungu tu.Basi kila mtu asingechalenge kama hivi ila kwakuwa aliyesema ni mswahili mwenzetu imekuwa kama mzaha.Sasa subiri watu yawapate watautafuta mvuke wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusiandikie mate, jifukize nyumbani kwako utaona kama inawezekana au la.Nyuzi Toto Mia hakuna anayeweza himili, otherwise tusingekuwa tunapoza chai na maji ya kuoga
Unafukizia kwa muda mkuu sio maisha yako yote.Hili joto tunaongelea ni la kuua kirusi ambacho kipo ktk mwili wa mtu,
Je kwa joto linaloweza kuua kirusi, mwili wa binadam unastahimili joto hilo? Joto hilo linaua kirusi cha korona tu au hata kirusi wa ugonjwa mwingine!?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani Nani katoa ushauri huu ? Na ameishia darasa langapi ?
Asante mkuu.sasa kutoka kwenye maeneo ya pua hadi kwenye mapafu kinatumia siku ngapi toka siku ulipokipata?
Acheni kudanganya watu..hata kabla Rais hajasema hicho,siku zote kujifukiza na maji moto hata bila mwarobaini wala hivyo vitunguu swaumu lakini hata kama una Magonjwa kiasi yanapotelea mbali,hii tiba mbona ya kitambo sana tu,binafsi maishani naumwaga meno tu lakini siyo haya magonjwa mengine na wala sinywi dawa za madukani...Corona ni nini kwa muafrika nyie..!!!!Mtafia kwenye mablanket na mashuka bure
Dehydration inakuachaje salama hapo?
Sasa mbona rais anapoteza mamilioni kujenga mahospitali ,mazahanati na ma vituo vya afya? Tena tunaambiwa kajenga vingi kuliko zote zilizojengwa na serikali zilizomtangulia.Je kufukizia kuna mhijataji mtu kwenda hospital? Kwani tunapoteza pesa hivyo?Acheni kudanganya watu..hata kabla Rais hajasema hicho,siku zote kujifukiza na maji moto hata bila mwarobaini wala hivyo vitunguu swaumu lakini hata kama una Magonjwa kiasi yanapotelea mbali,hii tiba mbona ya kitambo sana tu,binafsi maishani naumwaga meno tu lakini siyo haya magonjwa mengine na wala sinywi dawa za madukani...Corona ni nini kwa muafrika nyie..!!!!
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Unajifukiza usiku na mchana?Acheni kudanganya watu..hata kabla Rais hajasema hicho,siku zote kujifukiza na maji moto hata bila mwarobaini wala hivyo vitunguu swaumu lakini hata kama una Magonjwa kiasi yanapotelea mbali,hii tiba mbona ya kitambo sana tu,binafsi maishani naumwaga meno tu lakini siyo haya magonjwa mengine na wala sinywi dawa za madukani...Corona ni nini kwa muafrika nyie..!!!!
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo mwenyewe aliesema hivo, amehama mjengoni" analala juu ya mawe!
Mbona hajatulia tu mjengoni na aendelee kujifukiza!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kuishi mji mmoja ambapo karibu kila mtu alikuwa anajisifia kuwa na majini na ilifikia hatua ikawa ngumu kupata dem kama hauna jini hata 1 ni bora hata uzuge unalo. Huku ndo nilikuwa naona watu wanafukizwa sana mvuke na moshi so huenda corona nae ana asili ya jini
Wewe jifukize usiulize maswali mengi.Joto lenye centigrade ngapi mkuu,nataka nijifukizie leo
Hujajaribu kujifukiza unaleta ujuaji, vitu vingine tupunguze kujifanya tunao uelewa navyo.Nyuzi toto Mia? Hata mwendawazimu hawezi fanya huo ujinga.
Wewe hakuna ugonjwa ambao haujawahi kuwepo duniani, magonjwa yote haya ni marudio, Ukimwi uliitwa Lugandaganda, na Virusi vya Corona vilikuwepo tangia miaka hiyo ya 1500 na watu walijifukiza na kunywa dawa za asili na walipona, shida mmeshikwa akili na wazungu, tangu walipowaaminisheni kwamba kila mila na desturi na tiba zenu ni za kishenzi na ww mmoja wao wa wajinga mnaoamini kwamba maelekezo mazuri ya tiba yatatoka kwa wazungu tu, bila hata kujua oparesheni ya kwanza ya uzazi ilianzia afrika ndio ikaitwa Caesar au sizaHawakuwa nayo lakini pia sijui Kama magonjwa Kama Corona na ukimwi and the like yalikuwepo those days? Lakini pia mabadiliko ya tabia ya nchi yamebadili vitu vingi