Kujiita wa mjini halafu huna vitu hivi au moja ya hivi vitu ni dalili ya ubwege

Watu wanakuchora tuu.
Mwili wa mjini akili ya shamba

🤣🤣🤣🤣
 
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli

Ni fahari kuzaliwa mjini na kuwa mtu wa mjini kama una yale yanayopatikana mjini.

Mfano, mjini kuna karibu huduma zote za kijamii mathalani shule, vyuo, na miundombinu yote muhimu ya wewe kuipata elimu.

Sasa itashangaza umezaliwa mjini, umekulia mjini, halafu ati usiwe na elimu. Halafu kutwa kuchwa kutambia wajinga wenzako kuwa wewe ni mtu wa mjini. Unajichoresha kwa Watu lakini wewe hilo hulijui.

Umezaliwa mjini kwenye fursa nyingi sana lakini huna kazi wanakuja wale wa vijijini wanakupiku wanakuajiri wewe unakalia mimi born town, unajichoresha. Ni kwamba upeo wako mdogo.

Umezaliwa mjini, kuna vyombo vya habari na upatikanaji wa elimu ya kijamii na kiraia lakini unaúlizwa mambo madogo ya nchi au kijamii unajiumauma. Huna unalojua la maana zaidi ya vitu vya kitoto toto. Upeo mdogo, unatambia Watu kuzaliwa mjini Watu wanakuchora tuu.

Wewe ni mtoto wa mjini lakini unamawazo ya kichawi na kishirkina. Yaani unaamini hakuna linalowezekana bila uchawi au ushirikina. Kitu kidogo unaenda kwa waganga.
Hivi uliona Watu wa mjini wakawa na mawazo ya namna hiyo. Vijijini huko ndio Watu huwaza kwa namna hiyo.
Watu wanakuchora tuu.
Mwili wa mjini akili ya shamba.

Sasa umezaliwa mjini alafu unaamini katika uwezo wa uganga na ushirikina. Hivi ungezaliwa kijijini si ndio ungekuwa mchawi au mganga mwenyewe.
Watu wanakuchora.

Sifa moja ya wapo ya Watu wa mjini hasa majiji makubwa kimataifa ni kutoamini mambo ya kishirikina na kichawi.
Ukiona bado upo kwenye jamii inayoamini mambo hayo kwa wingi ujue hicho ni kijiji tuu.

Umezaliwa mjini lakini unamawazo ya ukabila. Wewe kila kitu kuulizia ukabila. Watu wanakuchora tuu.

Unatamba wewe ni Born town lakini unatumia Jiko la mkaa na kuni. Hauna mashine na majiko ya kurahisisha maisha bado unatamba wewe ni WAMJINI. Unajichoresha.
Kama upo mjini na bado unatumia Jiko la kuni vipi ungekuwa kijijini

Wewe ni Born town lakini hata kutumia kompyuta au kutumia mitandao ya kijamii, sijui mambo ya email hujui. Bado unajiita mtu wa mjini. Watu wanakuchora. Kazi kupiga piga kelele.

Unajiita born town lakini hujui hata lugha moja nyingi ya kimataifa ili kuwasiliana na dunia. Hivi unajua maana ya mjini.
Born town ni lazima ajue lugha hata moja ya kimataifa kuachana na ile ya taifa lake. Watu wanakuchora.

Unatamba wewe ni Born town alafu hata huna mpango wa kwenda hata nchi jirani, huna hata passport. Ajabu hata kitambulisho cha taifa hauna. Hivi neno mjini unalichukuliaje? Watu wanakuchora tuu.

Kifupi wewe ni Bwege tuu. Upeo mdogo unakufanya usumbue mabwege wenzako.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Pogba mwenyewe wa Paris ufaransa kaenda kwa sangoma sembuse mie wa kilungule
 
Born town wa kibongo huwa wanajua historia ya mji na Miata yake basi. Mambo ya kusaka utajiri zero!!
 
Umezaliwa Dar, afu UD unaendaga tu kwenye matamasha na kusaka pisi.
Umezaliwa Dr afu K.Koo unaendaga kununua tu we kuuza aah aah
Umezaliwa Dar kwenda Muhimbili mpaka mganga ashindwe.
Umezaliwa Dar afu umepanga kwa Mkinga🤣

Hatari sana
Ndio ile nchi yetu lakini maboss wa makampuni makubwa ni wageni
 
Nimesoma.
Wewe ulikuwa unanirekebisha, naye ukamrekebisha.

Ukasema baada ya sentensi inafuata nukta. Ndio nikakuuliza hiyo ni aina gani ya sentesi?

Vipi kama sio sentensi
Nimemaanisha, ukisha maliza kuandika,unatakiwa uweke nukta, iwe umeandika sentensi au chochote kile. ( . )
 
Back
Top Bottom