Kujiita wa mjini halafu huna vitu hivi au moja ya hivi vitu ni dalili ya ubwege

Watu wanakuchora tuu.
Mwili wa mjini akili ya shamba

🤣🤣🤣🤣
 
Pogba mwenyewe wa Paris ufaransa kaenda kwa sangoma sembuse mie wa kilungule
 
Born town wa kibongo huwa wanajua historia ya mji na Miata yake basi. Mambo ya kusaka utajiri zero!!
 
Umezaliwa Dar, afu UD unaendaga tu kwenye matamasha na kusaka pisi.
Umezaliwa Dr afu K.Koo unaendaga kununua tu we kuuza aah aah
Umezaliwa Dar kwenda Muhimbili mpaka mganga ashindwe.
Umezaliwa Dar afu umepanga kwa Mkinga🤣

Hatari sana
Ndio ile nchi yetu lakini maboss wa makampuni makubwa ni wageni
 
Nimesoma.
Wewe ulikuwa unanirekebisha, naye ukamrekebisha.

Ukasema baada ya sentensi inafuata nukta. Ndio nikakuuliza hiyo ni aina gani ya sentesi?

Vipi kama sio sentensi
Nimemaanisha, ukisha maliza kuandika,unatakiwa uweke nukta, iwe umeandika sentensi au chochote kile. ( . )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…