Kujiita wa mjini halafu huna vitu hivi au moja ya hivi vitu ni dalili ya ubwege

Na kama hufinyiwi ndani wewe sio born town, wewe ni "shamba boy"
 
Umepiga mulemule
 
Born hia hia 😁😁

Hata hivyo kila mji una zone. Kuna mtu amezaliwa mwanza au arusha city centre na mwingine kazaliwa na kukulia Dar uswazini. Kwa hiyo usishangae mtu akatoka mkoa na kuingia kwenye system za mji kuliko yule aliyekuwepo miaka yote daslam kutokana na connections au lifestyle analoishi.

Kwa hiyo exposure hutokana na pahali unapokulia na jamii inayokuzunguka. Kwa hiyo Kama umezaliwa na kukulia sehemu ambazo ndugu zako hawana contacts za wanasiasa au wafanyabiashara wakubwa na wala hakuna majirani wenye ajira zinazoeleweka zaidi ya madeiwaka na walinzi wa kariakoo. Mkuu ni ngumu mno kufikia hizo standards za mjini ulizonazo kichwani
 

Na kwa nini watu ambao hawana standards za mjini ndio hupendelea kutamba nd kujigamba wao ni Born hiahia.
Je ni kutokujiamini?
 
Wanaojiita watoto wa mjini sahv wako tofauti kabisa... hata mentality zao pia
Wao kwenda kidimbwi, wavuvi kamp element ndy wanasema wao watoto wa mjini
Wakati wetu watoto wa mjini unawakuta salamanda au azam pale unakutana na mabosi mbalimbali wanawapa michakato
Mnapeana mambo yanasonga
Ndomana mwisho wa siku unakuta watu vichwa vimebeba mambo kibao baada ya kukutana na watu wa kila aina

Ova
 

Kizazi cha nyuma yetu 80's kurudi nyuma mtoto wa mjini ni WAMJINI kweli.
Kuanzia mipango ya kuzamia nchi zingine, masuala ya uchumi n.k
 
Kizazi cha nyuma yetu 80's kurudi nyuma mtoto wa mjini ni WAMJINI kweli.
Kuanzia mipango ya kuzamia nchi zingine, masuala ya uchumi n.k
Miaka ya nyuma enzi za kupiga simu kimazabe line zile za TTCL international call, wakati ule dili kweli, ahh tulipigisha sana watu.

Hawa matajiri wa kihindi sijui nani ambaye nilikuwa sijamuungisha.

Wao wanaongea UK na India Canada alafu ni michakato tu mwanzo mwisho.

Nilijuwana nao matajiri wengi sana kupitia line hiyo.

Kesho wewe ni kupitia tu pesa zako makwao πŸ˜„.

Nilikuja kamatwaga juu gorofani kitega uchumi nikapewaga kesi uhujumu uchumi ngoma mpaka Kisutu lakini nikaimaliza, sema huko nilichomwa na watoto wa Sinza nakumbuka πŸ˜„.

Ova.
 

Sio Poa Bro.
Kwa sasa vijana wengi ni waoga
 
Ikajagaa dili za viza enzi zile bandika bandua πŸ˜„
Aise maisha haya ngoja siku nkituliaa ntaandika bonge la uzi
Maana maisha kama sinema

Ova

Andika vijana wengi tujifunze.

Kwa sasa vijana kuongea tuu na Mhindi au muarabu au mzungu hawawezi. Hawajiamini.

Mbaya zaidi wanakasumba mbaya
 
Sisi wa shambani acha tubaki kusoma comments za waliozaliwa mijini
 
Andika vijana wengi tujifunze.

Kwa sasa vijana kuongea tuu na Mhindi au muarabu au mzungu hawawezi. Hawajiamini.

Mbaya zaidi wanakasumba mbaya
Wakat ule unawangunisha wahindi waonge International call
Aise matajiri, wana maviwanda nk
Ndio maana waliposikia nimepata matt ahh faster tu nilichomolewa
πŸ˜„
Ila nlikuja juta sana kuwashirikisha wale watoto wa Sinza na wakati ule kesi uhujumu uchumi ulikuwa hauna nguvu sana, sema tu kesi ni kesi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…