fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
- Thread starter
-
- #21
Mkuu,kama una daladala hebu wapunguzie hesabu walau kipindi hikiNyie nyote mnaoshabikia huu us.enge wa Corona ni watu mnaoishi kwa shemeji zenu na hamlipi hata Kodi ya nyumba/chumba. Hivi hiyo Corona unahitaji kumwambia mtu usibanane,vaa barakoa etc!??... Jibu ni kwamba Corona ipo zaidi mitandaoni, siku ikifika mtaani kila nyumba ikawa na msiba hutaona mtu akipanda daladala iliyojaa. Ila Corona mnaikuza kuliko uhalisia wake. Mlivyo WAPUMBAVU mpo mnasisitiza tu Mambo msiyojua athari zake. Petrol imetoka 2050 hadi 2400 na nauli ya Tegeta - Kariakoo bado ni 600 tu, je wakikaa level seat itakuwaje!??.. ndo maana nimesema mtoa mada ni mtu anayekaa kwa shemeji yake.
Kwasababu ya Corona!?.. Hivi umewahi kujiuliza kwanini hakuna kondakta anayechukua nauli katika basi la Mbagala Kariakoo linalojaa masaa yote bila barakoa wala sanitizer,anayekutana na abiria zaidi ya 1000 kwa siku.. Aliyefariki kwa Corona!?.. hii Corona ipo kwenye mitandao zaidi ya uhalisia. Umejiuliza kwanini baada ya video ya jeneza lenye manguo huko Uganda kushtukiwa kabla ya kuzika hakuna tena matangazo ya hatari kuhusu Corona Uganda!???... Mnaangamia kwa kukosa maarifa. Corona ipo lakini kwa kiwango cha chini sana, sio kama mnavyotuaminisha.Mkuu,kama una daladala hebu wapunguzie hesabu walau kipindi hiki
Duuuh, mkuu unaelewaje juu ya afya kinga dhidi ya COVID-19? Kuvaa barakoa ni sehem ndogo Sana ya njia za kuzuia Ugonjwa huo. Social and individual distancing ndo kila kitu. Suala la level seat lina maana kubwa. Mikusanyiko mikubwa Kama Ziara za Mwenge na viongozi wa kiserikali, Bar , kumbi za sherehe na sehem zote zenye mikusanyiko mikubwa ya watu zinatakiwa kufungwa.Wala hakuna haja ya levo siti, watu wa daladala watapata hasara,
Inachotakiwa abiria wote wavae barakoa