a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Haya mapumbavu kweli , kwenye hiyo hiyo biblia kumeandikwa usile nguruwe ila yanabugiaNyie wafia dini mnafanya mambo yaonekane magumu mno, n wapi kwenye Biblia pameandikwa kupiga nyeto ni dhambi au kauli yenye maana kama hiyo.
Yn mtu akiwa mfia jambo fulani n lazima awe na matatizo ya akiliHaya mapumbavu kweli , kwenye hiyo hiyo biblia kumeandikwa usile nguruwe ila yanabugia
Hawa ni HIV positive wanataka kila mtu apate ukimwi kama wao,,🚮🚮
Viazi sanaYn mtu akiwa mfia jambo fulani n lazima awe na matatizo ya akili
Ungesema kwamba ukijichua unapata gonjwa lisilo na tiba km UKIMWI, HOMA YA INI, KISONONO, KASWENDE, GONORRHEA, KISUKARI, HEPATITIS b, KONGOSHO linafeli, FIGO linakufa na MOYO utagoma kusukuma damu ungeeleweka sana, eti nini mapepo? unapoteza baraka? nguvu ya maombi? unavamiwa na nini?Ni unaangia maagano ya ndoa na mapepo ,lakini unapoteza baraka, zako zinaibiwa na mapepo ,nguvu ya maombi inafifia/inapungua,unavamiwa na maroho ya uharibifu..
Majinga kweli , yanafikiri humu Kuna vilaza kama huko makanisani mwao, wasio hoji Chochote , waulize unakosa baraka zipi?Ungesema kwamba ukijichua unapata gonjwa lisilo na tiba km UKIMWI, HOMA YA INI, KISONONO, KASWENDE, GONORRHEA, KISUKARI, HEPATITIS b, KONGOSHO linafeli, FIGO linakufa na MOYO utagoma kusukuma damu ungeeleweka sana, eti nini mapepo? unapoteza baraka? nguvu ya maombi? unavamiwa na nini?
Acheni usenge wa kuwatisha watu imeandikwa wapi?
Hakuna [Dhambi] ni fikra za watu tu.. nionyeshe alipo MUNGU nikuthibitishie kwamba hakuna kitu kinaitwa dhambi ila ni creation ya Mwanadamu ni kitu ambacho Mwanadamu amekitengeneza km TABOOukionyesha bidii ya na nia ya kutaka kuacha dhambi hii ya kujichua,
Nyeto ni nature tuHaya mapumbavu kweli , kwenye hiyo hiyo biblia kumeandikwa usile nguruwe ila yanabugia
Hawa ni HIV positive wanataka kila mtu apate ukimwi kama wao,,🚮🚮
Anadai ukipiga haupati baraka ,😅 hii Dunia kila kitu kina ushahidi, kudanganya watu Sasa ni ngumu sana labda vilaza wanaotaka kupumbazwa tuNyeto ni nature tu
Nyeto ni nzuri kiafya kama haijatumika kuzidi kiasi
Nyeto imetulea wengi
Hajui anachoongea basi tu imemkuta anaongea hajui hata anapofanya mapenzi pale kinachofanyia anajichua kwa kupita mwili wa mtu mwingine kwa hio kunakua na exchange ya alichosema, niliwahi kusoma kitabu kimoja nacho kilikua kinatishatisha hivyo nikasema huyu mwandishi ameandika kwa vile anavyofikiria ila sio uhalisia halisi yaan hajaingia field akajifanyia research yaan utafiti mwenyewe aone je kinachosemwa ni cha kweli?Majinga kweli , yanafikiri humu Kuna vilaza kama huko makanisani mwao, wasio hoji Chochote , waulize unakosa baraka zipi?
Unamjua mtu mmoja anaitwa Onani?Nyie wafia dini mnafanya mambo yaonekane magumu mno, n wapi kwenye Biblia pameandikwa kupiga nyeto ni dhambi au kauli yenye maana kama hiyo.
Kwa Dunia ya sasa kama hautafuti mtoto kujichua ni njia salama na rahisi zaid.Hajui anachoongea basi tu imemkuta anaongea hajui hata anapofanya mapenzi pale kinachofanyia anajichua kwa kupita mwili wa mtu mwingine kwa hio kunakua na exchange ya alichosema, niliwahi kusoma kitabu kimoja nacho kilikua kinatishatisha hivyo nikasema huyu mwandishi ameandika kwa vile anavyofikiria ila sio uhalisia halisi yaan hajaingia field akajifanyia research yaan utafiti mwenyewe aone je kinachosemwa ni cha kweli?