Kujinajisi au kujizini mwenyewe (kujichua)

Unamjua mtu mmoja anaitwa Onani?
Simulizi ya huyo mtu aliambiwa alale na mke wa Marehemu Kaka yake akakataa akasema kuliko kulala na mke wa Kaka yangu ni mara 100 nipige nyeto akamwaga Chini baada ya kumtomba hakumwaga ndani na hapo ndio alipoinekana amejichua sababu hakuzimwagia mbegu ndani ya uke wa yule mwanamke ni sawa na wanaovaa Condoms wakati wa kufanya mapenzi, adhabu ikamjia juu yake Mungu akamuangamiza.. usifikiri hatujui maandiko

Mwanzo 38:6-10

6 Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.

7 Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.

8 Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”

9 Lakini Onani alijua kwamba [hao watoto wasingekuwa wake]. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, [alimwaga chini mbegu ya uzazi] (alimtomba ila hakumwaga ndani, Onani hakujichua, msipotoshe), asije akampatia nduguye watoto.

10 Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.

Fungua Mambo ya Walawi 18 soma kuanzia 1 mpaka 30 kisha uje tena upya

Ukimaliza kuzisoma sheria/amri zote zilizoandikwa kwenye Mambo ya Walawi 18 niambie ni mstari upi amesema usijichue?
 
ukitafuta kwenye biblia ni mstari upi unaokwambia usivute sigara hautoupata au unaokwambia usitivute shisha hautauona.
kwa sababu sigara ,shisha ,madwa ya kulevya, punyeto hazikuwepo at biblical time..lakini haina maana siyo dhambi..

Roho ya Mungu iliyo ndani yako itakushuhudia kuwa tendo hilo ni dhambi..kupitia roho mtakatifu.

Kama ulikuwa unajichua punyeto kwa sababu ya kutokujua kuwa ni dhambi..jua sasa kuwa ni dhambi nakuombea kwa Mungu ,Roho wa Mungu akufunulie macho yako na masikio yako ya rohoni upate kutambua kuwa ni chukizo mbele za Mungu.

lakini dhambi ni mauti ..dhambi hiyo ya kujichua kama zilivyo dhambi nyingine inaua maisha yajo ya kiroho na mwilini...mshaharabwa dhambi ni mauti..na pia inakutenga mbali na Mungu.

Nakuletea habari njema ..Yesu yupo hapa leo ,yeye ni mwingi wa rehema na msamaha ..ukiungama na kutubu kwa kumaanisha kuacha kujinajisi kwa kujizini mwenyewe kwa kujichua mapunyeto..atakusamehe na kukuponya yeye ambaye ni njia na kweli na uzima.
utakuwa huru utapata amani ya moyo katika mambo mema mengine mbali na kujichua ,huwezi kutaona tena kiu ya kujizini mwenyewe ..na **kwa ajili ya zinaa kila mmoja na awe na mke wake kama umeshindwa kuishi maisha ya utawa kama ni mwanaume OA mke wako kama ni mwanamke olewa kuliko kuwaka tamaa ya zinaa ukajizini mwenyewe.
MUNGU ATUSAIDIE ..tuifahamu kweli nayo kweli itatuweka huru...YESU ndiyo kweli ,njia na uzima..chota maji ya uzima kwa Yesu hutaona tena kiu ya kujinajisi kujizini mwenyewe kwa kujichua punyeto..Mungu akusaidie..amen.
 
JamiiForums
Habari na Hoja mchanganyiko
Kujinajisi kujizini mwenyewe kujichua
Thread startera sinner saved by Christ Start dateToday at 10:19 PM Tagskujichua
First
Prev
2 of 2
Unsubscribe

•••
min -me
min -me
JF-Expert Member
38 minutes ago
Add bookmark
#21
Kunguru wa Unguja said:
Unamjua mtu mmoja anaitwa Onani?
Weka picha yake kwa faida ya member
VERBOSE
VERBOSE
JF-Expert Member
28 minutes ago
Add bookmark
#22
Kunguru wa Unguja said:
Unamjua mtu mmoja anaitwa Onani?
Simulizi ya huyo mtu aliambiwa alale na mke wa Marehemu Kaka yake akakataa akasema kuliko kulala na mke wa Kaka yangu ni mara 100 nipige nyeto akamwaga Chini baada ya kumtomba hakumwaga ndani na hapo ndio alipoinekana amejichua sababu hakuzimwagia mbegu ndani ya uke wa yule mwanamke ni sawa na wanaovaa Condoms wakati wa kufanya mapenzi, adhabu ikamjia juu yake Mungu akamuangamiza.. usifikiri hatujui maandiko

Mwanzo 38:6-10

6 Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.

7 Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.

8 Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”

9 Lakini Onani alijua kwamba [hao watoto wasingekuwa wake]. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, [alimwaga chini mbegu ya uzazi] (alimtomba ila hakumwaga ndani, Onani hakujichua, msipotoshe), asije akampatia nduguye watoto.

10 Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.

Fungua Mambo ya Walawi 18 soma kuanzia 1 mpaka 30 kisha uje tena upya

Ukimaliza kuzisoma sheria/amri zote zilizoandikwa kwenye Mambo ya Walawi 18 niambie ni mstari upi amesema usijichue?
Nilipe nisepe
JF-Expert Member
17 minutes ago
Add bookmark
#23
Takataka
a sinner saved by Christ
a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
A moment ago
New
Add bookmark
#24
ukitafuta kwenye biblia ni mstari upi unaokwambia usivute sigara hautoupata au unaokwambia usitivute shisha hautauona.
kwa sababu sigara ,shisha ,madwa ya kulevya, punyeto hazikuwepo at biblical time..lakini haina maana siyo dhambi..

Roho ya Mungu iliyo ndani yako itakushuhudia kuwa tendo hilo ni dhambi..kupitia roho mtakatifu.

Kama ulikuwa unajichua punyeto kwa sababu ya kutokujua kuwa ni dhambi..jua sasa kuwa ni dhambi nakuombea kwa Mungu ,Roho wa Mungu akufunulie macho yako na masikio yako ya rohoni upate kutambua kuwa ni chukizo mbele za Mungu.

lakini dhambi ni mauti ..dhambi hiyo ya kujichua kama zilivyo dhambi nyingine inaua maisha yajo ya kiroho na mwilini...mshaharabwa dhambi ni mauti..na pia inakutenga mbali na Mungu.

Nakuletea habari njema ..Yesu yupo hapa leo ,yeye ni mwingi wa rehema na msamaha ..ukiungama na kutubu kwa kumaanisha kuacha kujinajisi kwa kujizini mwenyewe kwa kujichua mapunyeto..atakusamehe na kukuponya yeye ambaye ni njia na kweli na uzima.
utakuwa huru utapata amani ya moyo katika mambo mema mengine mbali na kujichua ,huwezi kutaona tena kiu ya kujizini mwenyewe ..na kwa ajili ya zinaa kila mmoja na awe na mke wake kama umeshindwa kuishi maisha ya utawa kama ni mwanaume OA mke wako kama ni mwanamke olewa kuliko kuwaka tamaa ya zinaa ukajizini mwenyewe.

Gazeti 🚮
 
Aisee kumbe tatizo ni kubwa kwa kiasi hiki..no wonder why ..nasikia kataa ndoa ...kataa ndoa..kumbe watu wamejioa na kuingia maagano ya ndoa za mapepo

na hata ukifunga ndoa haiwezinkudumu kwa maana tayari una ndoa nyingine na mapepo.

..neema ya Mungu iingilie kati..waombaji..naomba muombee hii roho ya kujinajisi iliyoachiliwa kwa vijana wetu..hasa huko mashuleni ndiko wanakoanzia hii michezo..Mungu saidia vijana wetu..neema yako..itusaidie..amen
 
ukitafuta kwenye biblia ni mstari upi unaokwambia usivute sigara hautoupata au unaokwambia usitivute shisha hautauona.

kwa sababu sigara ,shisha ,madwa ya kulevya, punyeto hazikuwepo at biblical time..lakini kutokuandikwa kwake haina maana siyo dhambi..

Roho ya Mungu iliyo ndani yako itakushuhudia kuwa tendo hilo ni dhambi..kupitia roho mtakatifu.

Kama ulikuwa unajichua punyeto kwa sababu ya kutokujua kuwa ni dhambi..jua sasa kuwa ni dhambi nakuombea kwa Mungu ,Roho wa Mungu akufunulie macho yako na masikio yako ya rohoni upate kutambua kuwa ni chukizo mbele za Mungu.

lakini dhambi ni mauti ..dhambi hiyo ya kujichua kama zilivyo dhambi nyingine inaua maisha yajo ya kiroho na mwilini...mshaharabwa dhambi ni mauti..na pia inakutenga mbali na Mungu.

Nakuletea habari njema ..Yesu yupo hapa leo ,yeye ni mwingi wa rehema na msamaha ..ukiungama na kutubu kwa kumaanisha kuacha kujinajisi kwa kujizini mwenyewe kwa kujichua mapunyeto..atakusamehe na kukuponya yeye ambaye ni njia na kweli na uzima.
utakuwa huru utapata amani ya moyo katika mambo mema mengine mbali na kujichua ,huwezi kutaona tena kiu ya kujizini mwenyewe ..na kwa ajili ya zinaa kila mmoja na awe na mke wake kama umeshindwa kuishi maisha ya utawa kama ni mwanaume OA mke wako kama ni mwanamke olewa kuliko kuwaka tamaa ya zinaa ukajizini mwenyewe.

MUNGU ATUSAIDIE ..tuifahamu kweli nayo kweli itatuweka huru...YESU ndiyo kweli ,njia na uzima..chota maji ya uzima kwa Yesu hutaona tena kiu ya kujinajisi kujizini mwenyewe kwa kujichua punyeto..Mungu akusaidie..amen.
 
hili tatizo kumbe ni kubwa sana watu wa Mungu nimejaribu kushare kuhusu dhambi ya kujichua kwenye mtandao wa kijamii wa jamii forum

aisee watu wa mataifa hawana ulewa kuwa ni dhambi wanaona ni kawaida tena wanajisifia kabisa kwa kutenda dhambi, wanatetea dhambi hii tena wengine wanasema leta ushahidi wa biblia wapi imeandika..??

ni tatizo kubwa sana la kitaifa limewakamata watu wengi sana..wengine hata waliopo kwenye ndoa watu wazima kwa vijana ..

naomba waombaji tuliombee taifa vijana ,mpaka watu wa makamo ..kwa jinsi punyeto ilivyowafinga na kuwapofusha macho ya rohoninna kuziba masikio yao ya rohoni,bila kuwasahau vijana wetu waliopo mashuleni.

tuwaombee hii roho ya punyeto imesambaa kwa asilimia kubwa.

.nafikiri mashuleni miaka ya nyuma ..kuna wazungu walikuwa wanawafundisha vijana kama njia ya uzazinwa mpango..huko mashuleni na debate za vijana ..ni tatizo kubwa sana limekata watu wengi..

wito wangu kwa waombaji tuombee hili kwa vijana wetu..
 
Zama hizi za Waya/Umeme/Moto/UKIMWI bora vijana wajipigie punyeto tuu.

Mtu anabalehe ana miaka 14, anasoma mpaka miaka 25 anapata digrii, anasota miaka mitano kutafuta kazi, anapata kazi ana miaka 30. Anafanya kazi miaka miwili ndio anaoa, yaani anaoa akiwa na miaka 32.
Sasa unataka aishije bila kupiga Punyeto? Utataka ajizuie! Anajizuia vipi mtu wakati kuna risk ya kutapa UKIMWI zama hizi!

Waacheni vijana wapige punyeto wakioa wataacha.
 
yasiyowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu yanawezekana.

ipo njia ionekanayo ni njema machoni mwa mwandamu lakini mwisho wake ni mauti..

inawezekana kwa msaada wa Bwana .. mtayaweza mambo yote katika yeye awatiaye nguvu...mambo yote kwa msaada wa Mungu yanawezekana ..hakuna lililo gumu la kumshinda Mungu.

Vijana shuleni wafundishwe madhara ya ounyeto kiroho ni kuingia maagano ya ndoa za maoepo...punyeto inaua maisha yako ya kiroho..inakufungamanisha na maroho mapepo machafu..ni jambo linaloua maisha yako ya kiroho.

ni kitu kibaya sana ..na hatari kwa usalama wako..usichukumie kwa wepesi tu..katika ulimwengu wa roho usio onekana kwa macho ya mwili..ni agano kamili na mapepo..yanaiba kutoka kwako..unakuwa hatarini na chini ya vifungo vya kiroho unakuwa monitored controlled unakuwa mtumwa unatumikishwa ..nhuvu zako za kiroho zinafiafia na maisha yako ya kiroho yanafiafia yanakufa kabisa..na wwngine mpaka wanazaa kabisa na mapepo

katika ulimwengu wa roho..ni derp sana hili ni jambo zito lina mizizi sio kwa wepesi wa nje tu ..ni too deep
 
Back
Top Bottom