Kujinajisi au kujizini mwenyewe (kujichua)

Kujinajisi au kujizini mwenyewe (kujichua)

Kutamani mwanamke sio punyeto. Izo topic mbili tofauti. Wengine nyeto hisia zinatoka kwa ukosefu wa hela ata hayuvutii hisia mwanamke.
Pinyeto ni sex...na sex yeyote ukifanya peke yako una alika evil spirits zinakuja kufanya sex na wewe spiritualy hata kama in physical world utakuwa peke yako,punyeto ni kuzini na spiritual entities(demons of lust) hauko peke yako spiritualy you are having sex with demons though physicaly you may seem to be alone,but YOU ARE NOT DOING IT ALONE ,
 
Gal 5:19-21
Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya,
1)uasherati
2)uchafu,
3)ufisadi,
4)ibada ya sanamu,
5)uchawi,
6)uadui,
7)ugomvi,
8)wivu,
9) hasira,
10)fitina,
11)faraka,
12)uzushi,
13)husuda,
14)ulevi,
15)ulafi,

na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.

Kor 6:9-11
Au hamjui ya kuwa
1)wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu?

Msidanganyike;
2) waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu,
3) wala waabudu sanamu,
4) wala wazinzi,
5)wala wafiraji,
6)wala walawiti,
7)wala wevi,
8)wala watamanio,
9)wala walevi,
10) wala watukanaji,
11) wala wanyang’anyi.

Na baadhi yenu mlikuwa watu
wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.

Kol 3:5
Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi,
1)uasherati,
2)uchafu,
3)tamaa mbaya,
4)mawazo mabaya,
5)na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu

Ufu 21:8
1)Bali waoga,
2)na wasioamini,
3)na wachukizao,
4)na wauaji,
5)na wazinzi,
6)na wachawi,
7) na hao waabuduo sanamu,
8)na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo
moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.**
 
Bila punyeto ningekuwa nishapata ukimwi kitambo tuu
 
Bila punyeto ningekuwa nishapata ukimwi kitambo tuu
 
Anadai ukipiga haupati baraka ,😅 hii Dunia kila kitu kina ushahidi, kudanganya watu Sasa ni ngumu sana labda vilaza wanaotaka kupumbazwa tu
Watu wanaua watu wana Teka na kukata watu vichwa still wanaishi, na pesa zinaingia hwalazwi mahospitalini ndo kwanza wanadunda je hizo baraka wameshindwa kunyanganywa wao ije Kwa mpiga nyeto auwi, haumizi mtu, haibi, dah
 
Back
Top Bottom