binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Ni sahihi kumwambia mtu kitu hiki ni kibaya bila kumtisha tisha ati ataingiliwa na mapepo sijui nini nini.
Huwezi kucontrol watu kwa njia ya hofu kwa muda mrefu, waambieni vijana why waache punyeto na sio hizi blah blah zenu.
Ngoja mi nikusaidie mleta mada, kitu chochote kinachopelekea addiction, kina kawaida ya kutengeneza raha kwa viwango fulani vya juu, kikawaida mwili unapenda vitu vizuri especially vya kustarehesha sababu ya Dopamine.
Sasa kadri unavyopata raha ndivyo unavyozidi kucrave raha zaidi, ndio mtu anajikuta hayuko productive yuko busy na nyeto, na hapa inategemea namna gani mhusika anaweza kucontrol hisia zake ndio maana kuna watu ni addicts wa punyeto na maisha yao mengine ya kawaida yanaendelea.
Hilo la kufunga ndoa na majini mmelitoa wapi?