Kujinajisi au kujizini mwenyewe (kujichua)

Ni sahihi kumwambia mtu kitu hiki ni kibaya bila kumtisha tisha ati ataingiliwa na mapepo sijui nini nini.

Huwezi kucontrol watu kwa njia ya hofu kwa muda mrefu, waambieni vijana why waache punyeto na sio hizi blah blah zenu.

Ngoja mi nikusaidie mleta mada, kitu chochote kinachopelekea addiction, kina kawaida ya kutengeneza raha kwa viwango fulani vya juu, kikawaida mwili unapenda vitu vizuri especially vya kustarehesha sababu ya Dopamine.

Sasa kadri unavyopata raha ndivyo unavyozidi kucrave raha zaidi, ndio mtu anajikuta hayuko productive yuko busy na nyeto, na hapa inategemea namna gani mhusika anaweza kucontrol hisia zake ndio maana kuna watu ni addicts wa punyeto na maisha yao mengine ya kawaida yanaendelea.

Hilo la kufunga ndoa na majini mmelitoa wapi?
 
Ni sahihi kumwambia mtu kitu hiki ni kibaya bila kumtisha tisha ati ataingiliwa na mapepo sijui nini nini.

Huwezi kucontrol watu kwa njia ya hofu kwa muda mrefu, waambieni vijana why waache punyeto na sio hizi blah blah zenu.
Kulingana na magonjwa na ngono za hovyo hovyo zinavyofanyika Sasa hivi Bora wapige nyeto tu
 
Mkono is perfectly fine and healthy,college watoto wa kizungu na matoy yao ilikuwa full mayhem 😁, later watoto wametoka safi na papuchi zinaendelea, mapepo ni story tuu
 
Huwa kuna kauli mimi huwa sielewi eti dunia ya kiroho. Hapa ndipo watu wengi wanafungananishwa na uongo utapeli hatimaye kuibiwa maana hakuna ushahidi wa moja kwa moja.
 
Napita tu hayanihusu haya
ila mkoboeni huyu mwenzenu anaingilia faraga za watu
 
We mlokoke acha unonko ukikosa cha kuandika uwe unakaa kimya.
 
Punyeto / Musturbation inamuathiri Mwanadamu kiroho (kwa wenye kumuamini Mwenyezi Mungu), kinafsi, kisaikolojia,Kiakili na pia kimwili (Ukifanya kupita kiasi)
 
Yesu Asante 🙏🏽
 
kujinajisi kwa kujizini mwenyewe kujichua(Hauzini mwenyewe kama unavyodhani UNAZINI NA maroho, mapepo)
 
tendo la kujamiiana ni baina ya watu wawili nafsi mbili si mtu mmoja peke yake,unapotaka kuanza punyeto unaingia rohoni unameditate unavuta hisia ama kupitia kutazama picha za ngono video za ngono ama kupitia taswira unayoitengeneza kwenye fikra zako ndio unayo sex nayo japo wewe unaona unajichua peke yako ila ROHONI mpo wawili hauzini peke yako unazini na mapepo jini ama roho za kuzimu mashetani..

na wakati mwingine yanaweza kuwa yanakuletea ndoto nyevu unazini nayo usiku ukiwa umelala ndotoni..
 
"Aalaan, nimeitafakari nondo yako kwa jicho la unyofu. Wallahi yakhe, umenena! Kujizini nafsi na zinaa ni pacha walioshikana; vyote ni uchafu unaomvua mja haiba yake na kumfanya dhalili.
Sikiliza yakhe, Manani anatukemea:
"Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na ni njia mbaya kabisa." (Qur'an 17:32)

"Je! Hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu? ... Kama mtu akiliharibu, Mungu atamharibu." (1 Wakorintho 6:19)
Tana bahi! Hata sayansi inathibitisha kuwa uchafu huu unaharibu mfumo wa Dopamine ubongoni na kufyonza madini adhimu kama Zinc yaliyomo kwenye mbegu. Ukizimwaga hovyo, unapoteza ujasiri, akili inasinyaa, na unakosa 'focus' ya kusaka shilingi. Hapo ndipo baraka zinapoyeyuka na milango ya madeni na umaskini inafunguka. Unabaki ganda tu, huku mapepo yakicheza ngoma kwenye riziki yako.
"Umaskini utakuijia kama mnyang'anyi..." (Mithali 6:11)
Mwanangu, ukitaka mfuko ujae na utajiri utulie, lazima nafsi iwe safi. Zinaa na kujichua ni maji ya chumvi; hayakati kiu, yanakumaliza maini. Shukrani kwa kutuzindua yakhe! InshaAllah, tutazivunja hizo pete za mapepo na kurejesha heshima ya mwanamume.
Darsa limefika penyewe Yakhe, ahsante!"
 
😂😂😂
 
Mt 5:27-48
Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini; lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake

1 Kor 6:18-20
Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yen


Mit 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake

1 Kor 6:16-20
Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…