Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Nikitu kigumu sana kusahau.kweli maana huwa tunajisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikitu kigumu sana kusahau.kweli maana huwa tunajisahau
Marafiki zake kabisa.....mtu huna utani naye anaanza kukurushia viutani na kukuchombeza.Hahahahah sasa mumeo si hana hela lazma wahuni waombe site 😀
Majukumu ninayo sana tu, got a wife and a kid. Ila sometimes nina hela sometimes sina and i don't give a flying fuq! Maisha ndio yako hivyo its never a bed of roses. Huwa siruhusu hali ya kuchanganyikiwa nikiwa sina kitu 😀... Sababu nothing is permanent even your life.labda huna majukumu!…ila ukiwa na majukumu ndio utaelewa
You seem to be a very great wife. Ni dharau kubwa sana kuuza utu kwa marafiki wa mumeo.Marafiki zake kabisa.....mtu huna utani naye anaanza kukurushia viutani na kukuchombeza.
....hata kama kudanga nisitoa kwa mtu yeyote aliye rafiki wa mume wangu.Nashukuru nilitunza kiapocha ndoa kwa uwezo wa MUNGU
Never and ever! Hawakuwahi hata utani wa mbali haukuwepo,Dah hao cio marafiki.walijua hali yenu ni ngumu wakatumia uo mwanya.before hawakuwagi kukutongoza??
Very stressful!You seem to be a very great wife. Ni dharau kubwa sana kuuza utu kwa marafiki wa mumeo.
Hio ya kukosa hata mia kweli inakata stimu.Confidence una hata mia mfukoni hasa kwa mwanaume uwez kuwa nayo..
Dah, washenzi tu you should have cut them off. Mi huwa family yangu sitaki iwe attached na marafiki by any means. Mambo ya kujuana hapana.Very stressful!
Namwangalia mume wangu machozi yananitoka....ananiuliza vipi....namjibu mama kijijini ugonjwa hospital hauonekan nakata tamaa...
kumbe ukweli naumia kwa namna marafiki zake walivyokuwa nawanitongoza kipindi hicho
Hii hali kwa mademu inawatesa sana sababu most of you ain't real with yourselves. Huwa mnapenda ku hype kila kitu then you end up living a miserable and unhappy life.sio jobless ila unakuta una mambo mengi alafu pesa haitoshi
Mungu ni mwaminifu sana ktk maisha ya duniani lazima kuish kwa umakini sn na watu kwa sababu unapopata shida ndy unajua tabia za watu walivyo lkn km hauna matatizo yyte ni ngumu kujua tabia walizonanzo.Mume wangu aliachishwa kazi for two years, nashangaa mpaka marafiki zake walianza kunitongoza ....
Right mindset, life is not a bed of roses kwamba wewe kila siku utakuwa nazo tu. Just tune yourself to the situation na uishi.Majukumu ninayo sana tu, got a wife and a kid. Ila sometimes nina hela sometimes sina and i don't give a flying fuq! Maisha ndio yako hivyo its never a bed of roses. Huwa siruhusu hali ya kuchanganyikiwa nikiwa sina kitu [emoji3]... Sababu nothing is permanent even your life.
Daaah pole kwa Changamoto hii ilikua mbaya mnooo. Binadamu ni sumu kali katika familia z wengine. I hope now you doing fineMume wangu aliachishwa kazi for two years, nashangaa mpaka marafiki zake walianza kunitongoza ....
Yah mi ni zaidi ya hata hizo material stuffs my energy is everythingFeeling moja mbaya sana, you don't fit anywhere, you reject your friends, vikao ndio kabisa unavikimbia, grps zote unaona zinakukera tu...very bad feeling.
Ila wengine tunajikubali tu hata iweje, yani kwanza ndio nazidi kujikubali.
Na unaweza usije kuzishika vilevileNi kweli au tuseme Mungu anatufundisha ili tukija kuzishika tukumbuke ni nani alikuwa na sisi kipindi hiki kigumu au ni vipi tuweze kutengeza budget kwenye matumizi yetu maana kuna wengine wanakuwa na pesa but kwenye matumizi wako vibaya
Mkuu acha utani kila mtu ana hela za kusurvive watu wanataka izo za kusurvive lakin hana..Hio ya kukosa hata mia kweli inakata stimu.
Kuwa na hela kwangu mi ni kuwa millionaire. Kuweza kufanya chochote nitakacho hapa duniani.
Ila kama hela za kusukuma maisha yetu kawaida mtu huwezi kosa kabisa. Naamini kila mtu anazo hela za kusavaivaa
Hii hali kwa mademu inawatesa sana sababu most of you ain't real with yourselves. Huwa mnapenda ku hype kila kitu then you end up living a miserable and unhappy life.
& what about you men, going around and lie everything you own and pretending to be someone else!you are the one who created this demons.Alafu baadae mnakuja kutulaumu sisi .Hii hali kwa mademu inawatesa sana sababu most of you ain't real with yourselves. Huwa mnapenda ku hype kila kitu then you end up living a miserable and unhappy life.
Inauma sanaMume wangu aliachishwa kazi for two years, nashangaa mpaka marafiki zake walianza kunitongoza ....