Kujiona huna thamani kipindi huna mkwanja

Kujiona huna thamani kipindi huna mkwanja

labda huna majukumu!…ila ukiwa na majukumu ndio utaelewa
Majukumu ninayo sana tu, got a wife and a kid. Ila sometimes nina hela sometimes sina and i don't give a flying fuq! Maisha ndio yako hivyo its never a bed of roses. Huwa siruhusu hali ya kuchanganyikiwa nikiwa sina kitu 😀... Sababu nothing is permanent even your life.
 
Marafiki zake kabisa.....mtu huna utani naye anaanza kukurushia viutani na kukuchombeza.
....hata kama kudanga nisitoa kwa mtu yeyote aliye rafiki wa mume wangu.Nashukuru nilitunza kiapocha ndoa kwa uwezo wa MUNGU
You seem to be a very great wife. Ni dharau kubwa sana kuuza utu kwa marafiki wa mumeo.
 
Dah hao cio marafiki.walijua hali yenu ni ngumu wakatumia uo mwanya.before hawakuwagi kukutongoza??
Never and ever! Hawakuwahi hata utani wa mbali haukuwepo,
Huwa wake zao wananiuliza mbona hujagi tena kwetu kuwasalimia wanao!!!! Nawaambia subiri shule zikifungwa ntakuja na wanao pia nyumban wakusalim.
 
You seem to be a very great wife. Ni dharau kubwa sana kuuza utu kwa marafiki wa mumeo.
Very stressful!
Namwangalia mume wangu machozi yananitoka....ananiuliza vipi....namjibu mama kijijini ugonjwa hospital hauonekan nakata tamaa...
kumbe ukweli naumia kwa namna marafiki zake walivyokuwa nawanitongoza kipindi hicho
 
Confidence una hata mia mfukoni hasa kwa mwanaume uwez kuwa nayo..
Hio ya kukosa hata mia kweli inakata stimu.

Kuwa na hela kwangu mi ni kuwa millionaire. Kuweza kufanya chochote nitakacho hapa duniani.

Ila kama hela za kusukuma maisha yetu kawaida mtu huwezi kosa kabisa. Naamini kila mtu anazo hela za kusavaivaa
 
Very stressful!
Namwangalia mume wangu machozi yananitoka....ananiuliza vipi....namjibu mama kijijini ugonjwa hospital hauonekan nakata tamaa...
kumbe ukweli naumia kwa namna marafiki zake walivyokuwa nawanitongoza kipindi hicho
Dah, washenzi tu you should have cut them off. Mi huwa family yangu sitaki iwe attached na marafiki by any means. Mambo ya kujuana hapana.
 
sio jobless ila unakuta una mambo mengi alafu pesa haitoshi
Hii hali kwa mademu inawatesa sana sababu most of you ain't real with yourselves. Huwa mnapenda ku hype kila kitu then you end up living a miserable and unhappy life.
 
Mume wangu aliachishwa kazi for two years, nashangaa mpaka marafiki zake walianza kunitongoza ....
Mungu ni mwaminifu sana ktk maisha ya duniani lazima kuish kwa umakini sn na watu kwa sababu unapopata shida ndy unajua tabia za watu walivyo lkn km hauna matatizo yyte ni ngumu kujua tabia walizonanzo.

Usivunjike moyo mme wako ndy mungu kakupangia usivunjike moyo atapata kazi nyingine na atakuwa vizuri, duniani tumeumbwa kupitia matatizo na hatimaye ni ushindi hata yesu alikuja duniani akapitia changamoto lkn alishinda. Kila wakati ni kuomba uzima mbali na changamoto unayopitia.
 
Feeling moja mbaya sana, you don't fit anywhere, you reject your friends, vikao ndio kabisa unavikimbia, grps zote unaona zinakukera tu...very bad feeling.

Ila wengine tunajikubali tu hata iweje, yani kwanza ndio nazidi kujikubali.
 
Majukumu ninayo sana tu, got a wife and a kid. Ila sometimes nina hela sometimes sina and i don't give a flying fuq! Maisha ndio yako hivyo its never a bed of roses. Huwa siruhusu hali ya kuchanganyikiwa nikiwa sina kitu [emoji3]... Sababu nothing is permanent even your life.
Right mindset, life is not a bed of roses kwamba wewe kila siku utakuwa nazo tu. Just tune yourself to the situation na uishi.
 
Mume wangu aliachishwa kazi for two years, nashangaa mpaka marafiki zake walianza kunitongoza ....
Daaah pole kwa Changamoto hii ilikua mbaya mnooo. Binadamu ni sumu kali katika familia z wengine. I hope now you doing fine
 
Feeling moja mbaya sana, you don't fit anywhere, you reject your friends, vikao ndio kabisa unavikimbia, grps zote unaona zinakukera tu...very bad feeling.

Ila wengine tunajikubali tu hata iweje, yani kwanza ndio nazidi kujikubali.
Yah mi ni zaidi ya hata hizo material stuffs my energy is everything
 
Ni kweli au tuseme Mungu anatufundisha ili tukija kuzishika tukumbuke ni nani alikuwa na sisi kipindi hiki kigumu au ni vipi tuweze kutengeza budget kwenye matumizi yetu maana kuna wengine wanakuwa na pesa but kwenye matumizi wako vibaya
Na unaweza usije kuzishika vilevile
 
Hio ya kukosa hata mia kweli inakata stimu.

Kuwa na hela kwangu mi ni kuwa millionaire. Kuweza kufanya chochote nitakacho hapa duniani.

Ila kama hela za kusukuma maisha yetu kawaida mtu huwezi kosa kabisa. Naamini kila mtu anazo hela za kusavaivaa
Mkuu acha utani kila mtu ana hela za kusurvive watu wanataka izo za kusurvive lakin hana..
 
Hii hali kwa mademu inawatesa sana sababu most of you ain't real with yourselves. Huwa mnapenda ku hype kila kitu then you end up living a miserable and unhappy life.
Hii hali kwa mademu inawatesa sana sababu most of you ain't real with yourselves. Huwa mnapenda ku hype kila kitu then you end up living a miserable and unhappy life.
& what about you men, going around and lie everything you own and pretending to be someone else!you are the one who created this demons.Alafu baadae mnakuja kutulaumu sisi .
 
Back
Top Bottom