hahahah umeona eee, watu wamezaliwa nazo hizo.
..........MTM ndo mutu ya Mwanza ikuje hapa ijibu hii swali....ila nasikia kuna hapo Malaika na sehemu nyingine sijui wanaita Villa or something like that.On topik...naombeni feedback za kiota kipya hapo mwanza..malaika -sumthing like that.
Nani ana good/bad reviews...kuanzia service za chakula na vinywaji, usalama, nk.
Haya tena, wakazi wa mwanza, na mliofika hapo, jengeni hoja.
....Dada weee wengine huwa wanazililia hizo maana kwa mwengine ni kama alipozaliwa alikoshewa maji ya mkaratusi, kila akipita aambulia tusi mh!!.............. hebu tusiseme sana tusijekufuru bure.hahahah umeona eee, watu wamezaliwa nazo hizo.
ni chakula ya brain...Hahahahahaaaa unapenda bia kiasi hiki?
...Dinnah, nimeiona sredi yako. Pole. Usikate tamaa..sote kuna kipindi tulidhani maisha yamefika mwisho.. give urself a chance.. ipo siku utajaaliwa kufika.
Bless you!
Mwj1, Nyamayao...."mnh!"
Umeona eeee mi nashanga.............hebu tukajipendelee ng'wana wane!!
..........MTM ndo mutu ya Mwanza ikuje hapa ijibu hii swali....ila nasikia kuna hapo Malaika na sehemu nyingine sijui wanaita Villa or something like that.
Ukishapafahamu kaka tunaomba picha!!
Natanguliza shukrani.
...mnh, hiki ndio kiota cha mjini Rock City...Malaika Beach Resort.
Mwj1 umeona ee?
...mnh, hiki ndio kiota cha mjini Rock City...Malaika Beach Resort.
Mwj1 umeona ee?
tujilipueni tupange twende kama group kwani tukijuana nini bana, maana uwezo tunao company ndio hatuna, maana kam hawatupeleki si bora tujipeleke wenyewe?
Basi mnaweza enda hayo masehamu mazurimazuri kila mtu ana lake akilini mwake, full kuchati visimu viko bizeeeee, mapenzi ya siku hizi bwana, yanakera sana, basi kumuumiza roho na wewe unatafuta mtu hata kama msichana mwenzako anaependa kuchati ili muanze kuchati umtie wivu lol
:doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh:.............Nimeishiwa vitamkwa............hili ndo chaguo langu!
now yu ar talking
.........Hahahaha BAK mwenzangu si watu humu naona wanantamanisha!! Mie pamoja na kujitahidi kutofuga gubu, sijawahiambiwa hata siku moja .Mamsap hebu leo tukajivinjari................ah. Ye kila siku ...nina safari za kikazi na cha ajabu safari zenyewe ni mwisho wa wiki, ukiuliza waambiwa katikati ya wiki kazi zinakuwa nyingi na hivyo ili zisilale ni policy ya ofc.tunasafiri weekend!! Na nkichunguza safari zooote hizo hakuna hata moja ya mkoa wa mbali! Ni chalinze, Pugu akizidi saaana Morogoro! Na huko ukipiga simu ni miziki na pombe ah.........
Nani asiyetaka raha duniani???
..................jamani nakumbushia tu ombi langu.................Aksanteni.
Hahahahah lol! Mkuu inaelekea wewe na mbuga za wanyama mbali mbali π
Hahahahaha lol! Sasa siku mmoja unamtolea uvivu na kumwambia safari hii tunaenda wote kwenye hiyo safari ya kikazi. Wakati wewe uko kazini π mimi nitakuwa hotelini napumzika nikikusubiri kwa chakula cha mchana/jioni na maraha yatakayofuata baada ya hapo π
.....Hahahah BAK bwana .....kuna siku nilijitoa akili na uasilia nikalifanya hilo mbona nilikoma..nililala hotelini na ilipofika saa kumi na moja muda anaotoka huko kwenye mkutano..simu ikazimwa hadi saa sita na nusu..........nikaambiwa charge ilikwisha wakati mie mwenyewe ndo niliicharge usiku.......nilikoma !