Kujipendelea Muhimu

Kujipendelea Muhimu

On topik...naombeni feedback za kiota kipya hapo mwanza..malaika -sumthing like that.

Nani ana good/bad reviews...kuanzia service za chakula na vinywaji, usalama, nk.
Haya tena, wakazi wa mwanza, na mliofika hapo, jengeni hoja.
..........MTM ndo mutu ya Mwanza ikuje hapa ijibu hii swali....ila nasikia kuna hapo Malaika na sehemu nyingine sijui wanaita Villa or something like that.

Ukishapafahamu kaka tunaomba picha!!
Natanguliza shukrani.
 
hahahah umeona eee, watu wamezaliwa nazo hizo.
....Dada weee wengine huwa wanazililia hizo maana kwa mwengine ni kama alipozaliwa alikoshewa maji ya mkaratusi, kila akipita aambulia tusi mh!!.............. hebu tusiseme sana tusijekufuru bure.

ila sio siri mwenzangu mpenzio akiwa anakupenda na kukuthamini si huwa raha sana jamani........mwe haya gamba lile pamoja na kukaa nalo kama la kobe sijawahirefaiwa kama 3 stars let alone 5................ mwee!
 
...Dinnah, nimeiona sredi yako. Pole. Usikate tamaa..sote kuna kipindi tulidhani maisha yamefika mwisho.. give urself a chance.. ipo siku utajaaliwa kufika.

Bless you!

Mwj1, Nyamayao...."mnh!"
 
...Dinnah, nimeiona sredi yako. Pole. Usikate tamaa..sote kuna kipindi tulidhani maisha yamefika mwisho.. give urself a chance.. ipo siku utajaaliwa kufika.

Bless you!

Mwj1, Nyamayao...."mnh!"

kaka yaani leo nimeamka na amani na furaha ya hali ya juu............only to knw that some are sad...........nimeuma.

Dinnah.........jipe moyo kaza uzi. Cha kuzingatia tu ni kuwa kama ameweza kukwambia maneno harsh kama hayo ni kuwa
1. Hajali utajisikiaje (feelings)
2. Hakuwa mstaarabu (angeweza kukupa sababu zaidi ya connection ambayo hata kwenye non-living organisms ipo..............we umekuwa intanet?? kusema no connection??- He is so insensitive)
3. hakukupenda tangu mwanzo kwani asingethubutu kukuumiza na angetafuta sababu hata ni ya uwongo ambayo ingepunguza machungu
4. Mtu wa hivi hakukupenda (alikuwa nawe kwa sababu maalumu tu)
5. Hakustahili.he is a loser...........hastahili kuumiliki moyo na penzi lako
6. You are better than he is.......................
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
..........MTM ndo mutu ya Mwanza ikuje hapa ijibu hii swali....ila nasikia kuna hapo Malaika na sehemu nyingine sijui wanaita Villa or something like that.

Ukishapafahamu kaka tunaomba picha!!
Natanguliza shukrani.

MALAIKA+G.SENGO1.JPG
3881358_8_b.jpg
3881358_4_b.jpg
3881358_11_b.jpg


...mnh, hiki ndio kiota cha mjini Rock City...Malaika Beach Resort.
Mwj1 umeona ee?
 
tujilipueni tupange twende kama group kwani tukijuana nini bana, maana uwezo tunao company ndio hatuna, maana kam hawatupeleki si bora tujipeleke wenyewe?

...Shantel,..wazo lako nimelipenda ila tukishakutana hilo group ndio tuta tambulishana kivipi?
"hello, mimi ndio Mbu!"...
" ahaa,...na mimi Shantel!"...
...au ndio inabidi turefushe ma introduction ya " naitwa Moskwito, a.k.a...Mbu...a.k.a...anopheles! (?) "

Basi mnaweza enda hayo masehamu mazurimazuri kila mtu ana lake akilini mwake, full kuchati visimu viko bizeeeee, mapenzi ya siku hizi bwana, yanakera sana, basi kumuumiza roho na wewe unatafuta mtu hata kama msichana mwenzako anaependa kuchati ili muanze kuchati umtie wivu lol

Shantel umeandika very good point.

Wakuu...Mnapoamua kutoana outings, kuna masharti na vigezo vinapaswa kuzingatiwa kuonyesha
lengo, nia, madhumuni na dhamira ni ku spend "Quality" time na mamaa/baba watoto wako bila distractions
nyinginezo...

Tafadhali zingatie yafuatayo;




images

  • No Mobile Phones Allowed (Forbidden!)
  • No Pending work files Allowed (Prohibitted)
  • No Laptops, Ipads Allowed (Restricted!)
Kila la heri.
 
.........Hahahaha BAK mwenzangu si watu humu naona wanantamanisha!! Mie pamoja na kujitahidi kutofuga gubu, sijawahiambiwa hata siku moja .Mamsap hebu leo tukajivinjari................ah. Ye kila siku ...nina safari za kikazi na cha ajabu safari zenyewe ni mwisho wa wiki, ukiuliza waambiwa katikati ya wiki kazi zinakuwa nyingi na hivyo ili zisilale ni policy ya ofc.tunasafiri weekend!! Na nkichunguza safari zooote hizo hakuna hata moja ya mkoa wa mbali! Ni chalinze, Pugu akizidi saaana Morogoro! Na huko ukipiga simu ni miziki na pombe ah.........

Nani asiyetaka raha duniani???

..................jamani nakumbushia tu ombi langu.................Aksanteni.

Hahahahaha lol! Sasa siku mmoja unamtolea uvivu na kumwambia safari hii tunaenda wote kwenye hiyo safari ya kikazi. Wakati wewe uko kazini 🙂 mimi nitakuwa hotelini napumzika nikikusubiri kwa chakula cha mchana/jioni na maraha yatakayofuata baada ya hapo 🙂

 
Hahahahah lol! Mkuu inaelekea wewe na mbuga za wanyama mbali mbali 🙂


...kwakweli hata mimi najionea 'starehe' za mjini zinachosha... ni bora kwenda hukooo kwenye nature's peace & Quietness...

night%20suite%20pool%20w.jpg
suite%20bed%20w.jpg

Lagoon%20jetty.jpg

Ras Kutani,...Southern Dar es Salaam.
 
Hahahahaha lol! Sasa siku mmoja unamtolea uvivu na kumwambia safari hii tunaenda wote kwenye hiyo safari ya kikazi. Wakati wewe uko kazini 🙂 mimi nitakuwa hotelini napumzika nikikusubiri kwa chakula cha mchana/jioni na maraha yatakayofuata baada ya hapo 🙂


.....Hahahah BAK bwana .....kuna siku nilijitoa akili na uasilia nikalifanya hilo mbona nilikoma..nililala hotelini na ilipofika saa kumi na moja muda anaotoka huko kwenye mkutano..simu ikazimwa hadi saa sita na nusu..........nikaambiwa charge ilikwisha wakati mie mwenyewe ndo niliicharge usiku.......nilikoma !
 
.....Hahahah BAK bwana .....kuna siku nilijitoa akili na uasilia nikalifanya hilo mbona nilikoma..nililala hotelini na ilipofika saa kumi na moja muda anaotoka huko kwenye mkutano..simu ikazimwa hadi saa sita na nusu..........nikaambiwa charge ilikwisha wakati mie mwenyewe ndo niliicharge usiku.......nilikoma !

...khaaaa!?... kuna mambo unayatolea ushuhuda mpaka maneno yananiishia.
Hivi ukishatendwa namna hiyo huo moyo unakuwaje?...

4660394-a-heartbroken-shattered-red-valentine-heart-symbol-of-love-broken-to-pieces.jpg


 
Back
Top Bottom