Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Macho hayana pazia haina maana uangalie kila kitu. Ndiyo maana kuna options za ku block vitu usivyotaka kuona usivione.kiranga,mmoja kati ya great thinker wa muda wote hapa jf nakukubali mno. Macho hayana pazia mkuu na ni kero kwa wengine mh. Kiranga
Hata hapa JF kuna watu wengi nimewablock sioni watakachoandika, lakini sijaona sababu ya kusema wasiandike wanavyotaka, ni uhuru wao.
Kitu kuwa kero kwako haina maana kimuondolee uhuru mwenzako kujinafasi kwenye 18 zake.
Mimi kuna mengi sipendi kuona, lakini siwezi kulalamikia wanaojiposti, kwa sababu napenda wawe na uhuru wa kuposti wanachotaka kuliko nisivyopenda wanachoposti.
Kitu cha msingi kabisa ni kumuachia mtu afanye mambo kwa uhuru wake.
Kwa sababu hata wewe mtu akija na kukukataza ku post JF kwa sababu yeye anaona si sawa, hutapendelea.