Kujipost mitandaoni Kila siku napo ni utumwa

Kujipost mitandaoni Kila siku napo ni utumwa

Kwakweli inategemea na maudhui na namna mtu anasocialize kunawengine wanatotivate sana
Kuna mkaka kanifnya nianze mipngo ya kufuga kuku the way imekuwa faida asingejipost nisingetamni na kuanza kufatilia
Mleta mada anashauri kwenye kujipost, sio kupost. Mudhui ya kibiashara ni mazuri kwa ajili ya kujitangaza, kujulikana kibiashara nk ila kubinua matako, kuonyesha manyonyo nk...mh. Japo kila mtu ana uhuru wa kuishi anavyojisikia.
 
Dhana ya Mwandishi inalenga Maarifa ya utumizi wa Mtandao.
Je, watumiaji wa Mtandao wanafaidika vipi na mitandao wanayotumia?
Pia, Sina Hakika kama watumiaji wa Mtandao hawafaidiki Moja moja.
Ila hawafaidiki katika Hali ya kumshawishi Mwandishi
Umeelewa vyema. Wengi hawafaidiki Kuna wale wanaopost kwaajili ya kujiuza, Ile ni biashara Yao.

Mimi nimewagusia Hawa wa " wadau ndo naamka". Haina faida.
 
Mleta mada anashauri kwenye kujipost, sio kupost. Mudhui ya kibiashara ni mazuri kwa ajili ya kujitangaza, kujulikana kibiashara nk ila kubinua matako, kuonyesha manyonyo nk...mh. Japo kila mtu ana uhuru wa kuishi anavyojisikia.
Haswaaa naona wengine hawajaelewa kujipost na kupost.
 
Dhana ya Mwandishi inalenga Maarifa ya utumizi wa Mtandao.
Je, watumiaji wa Mtandao wanafaidika vipi na mitandao wanayotumia?
Pia, Sina Hakika kama watumiaji wa Mtandao hawafaidiki Moja moja.
Ila hawafaidiki katika Hali ya kumshawishi Mwandishi
Hapo sawa yeye hafaidiki ila watumiaji wanafaidika inaweza kuwa hivo
 
Kuna tofauti ya kupost na kujipost. Labda urejee maelezo ya kichwa Cha habari. Nimesema kujipost kwamaana wewe binafsi , Kila siku unajipost ili iweje!?, Ukiwa unakula unajipost, unatembea unajipost, unaimba unajipost!?. Itusaidie nini sisi!?.
Na mm ndo nilichomaanisha uelewa wako wewe ni mbaya ila kwao ni mzuri
Ni kuheshimu maamuzi ya mtu na maisha yake
 
Sie tumesema kujipost sio kupost. Vitu viwili tofauti.
Mtu kapiga picha na kuku anawalisha hajaweka Bei Yan hawako sokoni ni kapost au kajipost hebu nieleweshe kwanza ndugu?
 
Na mm ndo nilichomaanisha uelewa wako wewe ni mbaya ila kwao ni mzuri
Ni kuheshimu maamuzi ya mtu na maisha yake.
Kutoa maoni haimaanishi huheshimu maamuzi ya watu, mtu husema kile aonacho kwake sio sahihi na hatuwezi kuwa na mtizamo sawa watu wote.
 
Kukosa Kaz za kufanya
Unajuaje kilasiku mtu kapost 😃😃
Wee umejuaje kama nimepost " Kujipost mtandaoni Kila siku ni utumwa" na umetoa maoni yako pia!?.

Sio kitu Cha Siri kusema mpka mtu apeleleze ndo ajue umejipost, si yapo dhahiri huko , Kila ukifungua unamkuta yeye na sura yake , Kila siku Cha maana anachofanya hakuna.
 
Back
Top Bottom