Kujipost mitandaoni Kila siku napo ni utumwa

Kujipost mitandaoni Kila siku napo ni utumwa

MATUMIZI YA SOCIAL MEDIA KWETU HUKU YANA UHUSIANO WA KARIBU SANA ANA AKILI YA MTUMIAJIA.
SIO RAHISI KUMUELEWESHA MTU MADHARA YA KU POST KILA KITU MITANDAONI KAMA AKILI NA UFAHAMU WAKE NI LEGEVU
MZIGO MZITO UKO AKILINI MWAKO!!

Why are most social media blocked in China?

Most social media platforms are blocked in China as part of the government's effort to control information and communication within the country. Through a censorship system known as the "Great Firewall," the Chinese government restricts access to foreign platforms such as Facebook, Twitter, Instagram, and YouTube. This censorship aims to curb the influence of foreign media, prevent the dissemination of politically sensitive content, and ensure that information aligns with state-approved narratives. In place of these platforms, China encourages the use of domestic social media like WeChat, Weibo, and Douyin, which are closely monitored and regulated by the government.

Tafsiri kwa kiswahili:
Kwa nini mitandao mingi ya kijamii imezuiwa nchini China?

Mitandao mingi ya kijamii imezuiwa nchini Uchina kama sehemu ya juhudi za serikali kudhibiti habari na mawasiliano ndani ya nchi. Kupitia mfumo wa udhibiti unaojulikana kama "Firewall Kubwa," serikali ya Uchina inazuia ufikiaji wa majukwaa ya kigeni kama vile Facebook, Twitter, Instagram na YouTube. Udhibiti huu unalenga kuzuia ushawishi wa vyombo vya habari vya kigeni, kuzuia uenezaji wa maudhui nyeti ya kisiasa, na kuhakikisha kwamba taarifa zinapatana na simulizi zilizoidhinishwa na serikali. Badala ya majukwaa haya, China inahimiza matumizi ya mitandao ya kijamii ya ndani kama vile WeChat, Weibo, na Douyin, ambayo inafuatiliwa na kudhibitiwa kwa karibu na serikali.
 
Mleta mada, nadhani hutaeleweka coz dhana ya "mind your business" ndio maisha ya sasa. Ninachojua kila mtu ana addiction yake, pamoja na hayo wengi tunapitia changamoto nyingi za kimaisha that's why tunafanya vitu vya ajabu ajabu. Sasa hivi X(twitter) ni mtandao wa ngono, utakuja kuambiwa "mind your own business " ili wao wawekane huko.

Dhana ya "mind your own business" inaathiri sana kizazi chetu.
 
bado tutayaona mengi sana tujitahidi kila mmoja ashike lake
 
Mi naonaga aibu nikiona mtu anajipost anaimba imba na anakosea hayo maneno sometimes, na ikiwa ndo mutu ya 30+ nahisi aibu kinyama sijui aibu ya nini wakati hainihusu...... Ila huwa nahisi aibu sana.
Unayoona ni halisi na kweli.
Namna unavyopokea unauvaa uhusika ambao sio wa kwako.
Kuhisi aibu si kosa inatokana na mapokeo ya hali halisi na jinsi unavyoichakata taarifa.
Ujasiri huficha aibu
 
Mleta mada, nadhani hutaeleweka coz dhana ya "mind your business" ndio maisha ya sasa. Ninachojua kila mtu ana addiction yake, pamoja na hayo wengi tunapitia changamoto nyingi za kimaisha that's why tunafanya vitu vya ajabu ajabu. Sasa hivi X(twitter) ni mtandao wa ngono, utakuja kuambiwa "mind your own business " ili wao wawekane huko.

Dhana ya "mind your own business" inaathiri sana kizazi chetu.
Kwakweli inategemea na maudhui na namna mtu anasocialize kunawengine wanatotivate sana
Kuna mkaka kanifnya nianze mipngo ya kufuga kuku the way imekuwa faida asingejipost nisingetamni na kuanza kufatilia
 
This is reality. Wapo ambao furaha zao zinategemea mambo hayo. Kuna haja zianzishwe SOBER za watu ambao ni addicted na hizi mambo
 
my dear hauna tofaut na wanaojipost Kila mda una mwez una nyuzi 360 tofaut yako na Hao ni nn
Why unaandika nyuzi kilamuda
Utumwa?
Show off?
Tukujue au?
Ukiwza Hilo utaona ni vema kuheshimu uhuru wa mtu na bundle lake
Mm naenjoy kuona status zao zinafurahisha zingine kwakweli Mungu awaweke wazid kupost na mm nitapost tufurah
Kuna tofauti ya kupost na kujipost. Labda urejee maelezo ya kichwa Cha habari. Nimesema kujipost kwamaana wewe binafsi , Kila siku unajipost ili iweje!?, Ukiwa unakula unajipost, unatembea unajipost, unaimba unajipost!?. Itusaidie nini sisi!?.
 
This is reality. Wapo ambao furaha zao zinategemea mambo hayo. Kuna haja zianzishwe SOBER za watu ambao ni addicted na hizi mambo
Kabsa na ukishakuwa addicted hata watu wakisema umekuwa addicted punguza anakuona unamfatilia wakati kiuhalisia ni ushakuwa mtumwa wa watu.
 
Asante...watuu tujifunzee kumind our own business 🙌hii Dunia Kila mtu anaishi vile apendavyoo ili mradi tu asivunje Sheria ya nchi...kufutilia mambo ya watu nao ni ugonjwa wa akili piaa
Njoo mi nikufatilie wewe😂 kuna kitu nimeona kimeumuka hapo
 
Watu huko tiktok wanaingiza pesa ndefu kwa kupost hivyo viuno ninyi mnavyoangalia ndio vinawaongezea utajiri.

Kwani Mimba inauajabu gani?


Watu wanapost kwa malengo Yao. Ikiwemo kuzungumziwa na watu kama wewe hivi ndio ni sehemu ya malengo yao

Utumwa ni wewe unayefuatilia mambo ya wengine yasiyokuhusu.

Wewe mtu anajipost kwenye akaunti yake wewe kinachokufanya umfuatilie ni nini kama sio utumwa?
Kuna kufatilia na Kuna kuona. Ukijipost lengo lako si tuone, ndo tumeona. Na tukiona tunaongea kama hivi.

Ukishaiweka furaha au thamani Yako mitandaoni, kwamba ukijipost ndo unakuwa na furaha basi ndo ushakuwa mtumwa wa watu.
 
Kuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.

Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni kupost tu kwenye mitandao.

Amekuwa kama msanii Kila hatua ya maisha yake lazima watu waijue. Wasanii wanapata pesa angalau, sasa mwenzetu unapata nini!?, Zaidi ya like na comments ambazo hazina faida yoyote Ile katika maisha yako.

Huu ni utumwa vilevile. Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.
Na kuangalia wanaojipost hadi kujua kuwa wanajipost kila siku nayo ni nini?
 
Kwakweli inategemea na maudhui na namna mtu anasocialize kunawengine wanatotivate sana
Kuna mkaka kanifnya nianze mipngo ya kufuga kuku the way imekuwa faida asingejipost nisingetamni na kuanza kufatilia
Dhana ya Mwandishi inalenga Maarifa ya utumizi wa Mtandao.
Je, watumiaji wa Mtandao wanafaidika vipi na mitandao wanayotumia?
Pia, Sina Hakika kama watumiaji wa Mtandao hawafaidiki Moja moja.
Ila hawafaidiki katika Hali ya kumshawishi Mwandishi
 
Back
Top Bottom