Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hao unaowasema wengi hata hawakusomi. Hata hawajui kama upo dunia hii.Duuh!! Kagoogle kwanza kulazimisha watu na kutoa maoni.
Upande mmoja kujipost ni furaha ya mtu havunji sheria, ila maoni binafsi huko ni kuwalazimisha watu wafate utakavyo🤔.
Kwahy unatakaje labda tukae kimya na katiba inaturuhusu kutoa maoni yetu!?. muhimu hatuyavunja sheria za nchi kama usemavyo baki na wazo lako ni baki na langu.