chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Status ndiyo nini niombe msaada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahy kwa maana Yako hiyo, ukiona nduguyo au mtu wa karibu anaenda kinyume labda muhuni n.k huwezi kutoa maoni kwakua kwa tafsiri Yako utakuwa umempangia!?.Hapana,
Ukishawaingilia watu waishi hivi wasiishi vile umeshawapangia, sema huna namna ya kulazimisha wafuate ulichowapangia tu.
Sawa basi endelea kujitiktok tu bro 😹Naanzaje kupanick jamani.
Nduguyo ongea naye moja kwa moja. Huyo una ukaribu naye. Una undugu naye. Unaweza kuwa na sababu nyingi za kuongea naye. Inawezekana hata kakuomba ushauri. Anakujua, chanves are anakujali.Kwahy kwa maana Yako hiyo, ukiona nduguyo au mtu wa karibu anaenda kinyume labda muhuni n.k huwezi kutoa maoni kwakua kwa tafsiri Yako utakuwa umempangia!?.
Baya kwa mtu kujipost?Tukisema tuache Kila baya basi tutakuwa na dunia iliyojaa fujo, na ndomna Kuna jela ukizingua kitaa unawekwa ndani ujifunze.
Nadhani hii ni moja ya dalili ya uchawi ambayo mleta mada ameaza kuionyesha,sasa mtu bando hununulii,simu hujamnunulia unataka umpangie jinsi ya kuishi?Kuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.
Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni kupost tu kwenye mitandao.
Amekuwa kama msanii Kila hatua ya maisha yake lazima watu waijue. Wasanii wanapata pesa angalau, sasa mwenzetu unapata nini!?, Zaidi ya like na comments ambazo hazina faida yoyote Ile katika maisha yako.
Huu ni utumwa vilevile. Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.
Basi nafikiri umenijibu. Ukiongea na mtu iwe ana kwa ana au mtandaoni haina maana ya kuwapangia bali ni katika kuwapa ushauri na kutoa fikra zao binafsi.Nduguyo ongea naye moja kwa moja. Huyo una ukaribu naye. Una undugu naye. Unaweza kuwa na sababu nyingi za kuongea naye. Inawezekana hata kakuomba ushauri. Anakujua, chanves are anakujali.
Hapa JF umekuja kuwaasa watu usiowajua, ambao hawajakuomba ushauri, ambao hata huelewi kwa nini wanafanya wanavyofanya.
Kifupi umejimwambafy kuingia kwenye maisha ya watu, umejipa umuhimu ambao huna kwenye maisha ya watu wasiokujua na wengine wala kukujali.
Tena kwenye mambo ambayo wana haki zao za msingi za kikatiba na kibinadamu kuishi wanavyotaka.
Ishibunavyotaka wewe na waache wengine waishi wanavyotaka wao.
Kwani wakijipost ukawaacha wajipost ukashika hamsini zako utapungukiwa nini?
Am minding mine and yours too. Ukitaka tusitoe maoni kaishi sayari nyingne isiyo kuwa na watu. Unampostia nani!?, Ili iweje!?, Unanufaika nini!?. Zaidi ya likes na koment. Una stress waambie watu wako wa karibu ulonao.Nadhani hii ni moja ya dalili ya uchawi ambayo mleta mada ameaza kuionyesha,sasa mtu bando hununulii,simu hujamnunulia unataka umpangie jinsi ya kuishi?
Acha wajipost wengine ndio sehemu ya kuondoa stress katika maisha yao,mleta mada mind your own bidness.
Na wewe kuna watu wanasema unapost sana huna staha.Basi nafikiri umenijibu. Ukiongea na mtu iwe ana kwa ana au mtandaoni haina maana ya kuwapangia bali ni katika kuwapa ushauri na kutoa fikra zao binafsi.
Kwa mm kupost hapa ni kwakua hapa ni plantform wengi wataona na watapitia, wapo watakaokubali na kuona ukweli wa kilichosemwa na wapo watakaopinga , ni juu ya Kila mtu kuamua njia aitakayo.
Ndomna Kuna redio na Tv ambazo huongelea mada mbalimbali na kukosoa pia, mbona hatusemi watufate watu ana kwa ana wakawaeleze!?.
Ukiona linakufaa unalibeba ukiona halikufai unaacha, lakini maoni ya watu huwezi kuyatafsiri kama ni kukupangia au kuwapangia.
Sawa basi endelea kujitiktok tu bro 😹
Kumbe huyu huwa ni braza? Atakuwa na mustach wa namna hii?Sawa basi endelea kujitiktok tu bro 😹
Za ndani kabisa jf kuna wanawake watatu tu, wengine wote mabraza.....Kumbe huyu huwa ni braza? Atakuwa na mustach wa namna hii?View attachment 3174686
Mimi sio shida zangu hizo.Hata huko tic-tac sijui sipo.Sawa basi endelea kujitiktok tu bro 😹
Wewe ndo mtumwa wa kufatilia watu wamepost nini.Unapost nini!?, Biashara hazina tabu ila sura Yako au ya familia Yako Kila siku ni utumwa.
anapost kabinua tako🤣Kuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.
Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni kupost tu kwenye mitandao.
Amekuwa kama msanii Kila hatua ya maisha yake lazima watu waijue. Wasanii wanapata pesa angalau, sasa mwenzetu unapata nini!?, Zaidi ya like na comments ambazo hazina faida yoyote Ile katika maisha yako.
Huu ni utumwa vilevile. Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.
Oyaah hii ni kwangu pia aiseeMi naonaga aibu nikiona mtu anajipost anaimba imba na anakosea hayo maneno sometimes, na ikiwa ndo mutu ya 30+ nahisi aibu kinyama sijui aibu ya nini wakati hainihusu...... Ila huwa nahisi aibu sana.